Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,019
Ngoja niichukue nitoe ako ka kopa nikuone vizuri
Ngoja niichukue nitoe ako ka kopa nikuone vizuri
Shukrani mkuu



yule alisomea kijiji
kuna clip moja niliona yule alienda nalo kijijini...naona kajiandaa na faini yao
Yai linabishana na kuku nani wa kwanza kuwepo kwenye sayariYepi hayo mdogo wangu![]()
Mtu muda wote Yuko Forest ndani ya geti![]()
Usinifanyie hivyo jamani.
Huku forest ya zamani kulikuwa kwa kishua zamani.Na forest mpya ni kwa wa kishua kweli maana kule ukipita kuko kimya kila mtu na geti lake hadi unaogopa kama unatembea usiku peke yako,, sisi huku kwetu forest ya zamani uswahilini tu kelele kama zote..

Mimi Ni kuku
Yai linabishana na kuku nani wa kwanza kuwepo kwenye sayari
Dah!hata mimi nina roho sina jiwe
Huku forest ya zamani kulikuwa kwa kishua zamani.
Siku hizi hakuna tofauti Sana na mabatini tu
Aisee 😁😁😁Mimi Ni kuku
Shida nn plate namba au?..Aah hapana
niachie hadharanKule kwetu kumegawanyika sehemu 2.Sasa mwenzetu Heaven Sent anaishi kwa wa kishua kule,, sisi huku tunachojivunia ni benki kuu, mahakama kuu, chuo cha mzumbe na shule ya st francis ndiyo vinatuheshimisha watu wa forest ya zamani ila nyumba mamamama nzuri zinahesabika..
Halafu mbona hata kule kwenu pia watu wamejenga na ni pa kishua sana ila basi tu hapa unajichetua,, yaani Mbeya mjini ilivyo ndogo sehemu za kishua zote zinajulikana na za changanyikeni zote zinajulikana wewe na H S mnaishi sehemu za kishua mno..


NdiwoooShida nn plate namba au?..niachie hadharan