Ahaha wait...Ndiwooo
Niko hapa....ukifanya na nyongeza ya tabasamu lako pia sio mbayaAhaha wait...
Niko hapa....ukifanya na nyongeza ya tabasamu lako pia sio mbaya

Wacha weeee!!!
Mweeeeeh!!Hewalaaa...mi nazipokea tu...halafu huwa nafanya part time ya kupokea mahari na posa kwa mabinti kama ninyi...Naomba deal
Ya kujiunga la kwanza?Nilikuwa kwenye intavyuuu ya kwanza...
Kuna mtu ofisini ananipaga mbegu za maboga...asee n tamuje
Ndio imeisha hiyo sio?
relax mzee babaHaya nimekupa go ahead, nenda huko mtandaoni ukazilete picha OG, namashaka na weew mimi nikitumia picha za watu kinakuuma nini ?
Anajipitia tu juu kwa juu jamani
Yupo wapi???
Ndio imeisha hiyo sio?
Afu watu mnaotumia app sijui mkoje 😂😂Title ya hizi picha zako kama siyo za ku download basi umejitumia whatsapp![]()