Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,467
Ko una mdiss mwamba akiwa Hayupo🙄😁Leo nilikuwa kinondoni ❤️ makumbusho Mimi na mdogo wangu nikapitia Roby one kumnunulia sandozi na nguo za milioni moyaa wale wazee wa kupeleza katafuteni hii nilipotoa na izo nilizopiga ghorofani mkipatia natoa laki 3 😂
View attachment 2918602