Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Mfano wa bumunda🤣😂😂Hii ni keki au bumunda la kikinga ?
Eggless one
Mfano wa bumunda🤣😂😂Hii ni keki au bumunda la kikinga ?
Hii ni mboga ya nini mkuu
Nisamehe mkuu nimerusha picha kisha nikaendelea na majukumu yangu mengine🙆🏼♀️Eeh mbn umenipiga mie hapo Tshirt ya mistari mekundu ..cc mods🤣
Siku hizi huaminiki mdogo😀😂
Kwa Nini kaka 😁🤣 kwamba huyo sio Mimi au 😁🤣Siku hizi huaminiki mdogo😀😂
We una juaa, namba ina sema yupo italy marekani😂😀Kwa Nini kaka 😁🤣 kwamba huyo sio Mimi au 😁🤣
Sijakuelewa bado embu nieleweshe kakaWe una juaa, namba ina sema yupo italy mmarekani😂😀
Naku zingua bhana😂😀, namaanisha si tuko bongo- Afu we una Vita na mu Italiano vicenzoSijakuelewa bado embu nieleweshe kaka
Hahahahaha..poa poaNisamehe mkuu nimerusha picha kisha nikaendelea na majukumu yangu mengine🙆🏼♀️
Yupi huyo 😂😂Naku zingua bhana😂😀, namaanisha si tuko bongo- Afu we una Vita na mu Italiano vicenzo
Uli iangalia vicenzo??, Yule mr manywele??Yupi huyo 😂😂
Hapana siijui kaka 😂Uli iangalia vicenzo??, Yule mr manywele??
Utaoa kweli 😁😁
🤣Utaoa kweli 😁😁
Siku uki kubali marriage proposal yangu, mama mkwe wako ana kufata😍😀😀Utaoa kweli 😁😁
Basi ndo maana😀, itafute ni Kali mnoHapana siijui kaka 😂