Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ww sitaki uhusike na lolote, uduguu kasema naita watu sijui wanisaidie, sasa mimi sitaki mtu aingilie hii…..
Nataka niende naye taratibu udugu wangu, mpk atakapokaa sawa..!!!

Ss hivi dawa naona inaanza kufanya kazi
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?
 
Unaita watu wakusaidie kwenye nn?
Kumbe jana hujaona?? Kuna comment kasema naita watu ikabidi nicheke 😂😂😂
Mimi nishawahi kuita mtu anisaidie kweli??
Itakuwa kapitiwa kasahau anavyokuja na zile id zake lukuki, mi nagombanaga mpk napewa ban peke yangu….😂😂😂😂

Mimi nimuogope nani humu ambaye ananijua labda?? Nikikusifia nakusifia kwa id hii, na nikikuponda nakuponda na id hii
 
Kumbe jana hujaona?? Kuna comment kasema naita watu ikabidi nicheke
Mimi nishawahi kuita mtu anisaidie kweli??
Itakuwa kapitiwa kasahau anavyokuja na zile id zake lukuki, mi nagombanaga mpk napewa ban peke yangu….

Mimi nimuogope nani humu ambaye ananijua labda?? Nikikusifia nakusifia kwa id hii, na nikikuponda nakuponda na id hii
alikua labda anatania
 
Back
Top Bottom