Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,366
- 62,273
Hahaha.........wakati mwingine melody hufanya upende wimbo hata kama huelewi maana yakeKuna siku nasikiliza nyimbo ya kichina, si unajua walivyo wazuri kwenye violin na sauti.
Baadae na Google, Kumbe Ina hamasisha kuzingatia kilimo 😂😀
Ndiyo maana Belle 9 na Joh Makini waliwahi kuimba kuwa Music ni dawa/tiba kupitia wimbo wao wa "Vitamin Music"