Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nilikuwa kinondoni [emoji3590] makumbusho Mimi na mdogo wangu nikapitia Roby one kumnunulia sandozi na nguo za milioni moyaa wale wazee wa kupeleza katafuteni hii nilipotoa na izo nilizopiga ghorofani mkipatia natoa laki 3
Tajiri hachukuliwi powa
View attachment 2918602
Kinawaka kivumbi cha wenye pesa sasa, wapiiiii tajiriii,
Wapiiii pedesheee ndramaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila selfika kila siku vita mpyaaa.
 
Kuna kipusa aliniita Mimi ni kanjanja wakati mie nipo royal humu Wala sina shida na mtu kuhusu picha zile za Italy navyoziweka hata mwenye nazo anajua kuwa natumia picha zake maana ninachat nae dm ni mwanangu pia na juzi nimeongea nae fresh tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipusaa tenaaa? Woiiiiiiii
Jamaniiiiiii kumekuchaaaaa hapaaaaaa.
 
Vyoteee, maana wananichanganya sielewi nishike lipi niache lipi,
Rab alisema na kushusha PDF, anakuja DA tin anasema haikua hvyooo.
Mbea mie ndo navurugwa balaa, nataka kitu clear bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si uwaite tu wote aletuya na Rabbitus wakutane hapa wakueleze nini huelewi

Uliza wapi huelewi ukumbushwe 😂😂😂
 
Angalia tu dogo usije kufanya mauaji ya kukusudia ukaenda jela
Bado tunahitaji ule Red velvet 😂,jela hazipo hizi
🤣🤣🤣 utakuwa unaniletea basi huko jela au utaacha kila sku niwe nakula ugali kisa uraiani skuula
 
06:37 morning everyone, hope mko poa!!
Screenshot_20240227-232225_1.jpg
 
aletuya

Wee DA tin uko wapiiii? Hebu kujaa hapa tuendelee tulipo ishia, mwenzioo sina rahaa ubuyuu wakoo sina vizurii, nakereketwaa balaaa,

Fanyaa ukuje hapaaa unijuzeee kipenziiii chakoo, na unajua bila umbea sina maishaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo nimemaliza mimi
Sina la kuongea zaidi

Na juzi ile nilikuwa na mood ya kuongea tu .

Done ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani wafanye wakujee, mbea nipate ubuyu ulokamilikaa haswaaa.

Siwezi kuishi na dukuduku la labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
Tuishie hapo Cocastic .

I think nielezea vizuri sana siku ile what happened.

Maisha yaendelee tu , Kuna parts mbili chagua kuamini part yoyote tu .
 
Si uwaite tu wote aletuya na Rabbitus wakutane hapa wakueleze nini huelewi

Uliza wapi huelewi ukumbushwe 😂😂😂
Nishachoka mie
Hii haitoisha , na ukijibu maswali yanazidi .

Umbeya hauishi humu ...
Sitaki maneno zaidi ..

Humu ngoja nilog out kesho na kusepa 😂😂😂.

Maana I'm constantly reminded of what happened .

Na mie sitaki kabisa Kila siku niwe najielezea kama nipo court
 
Mayday Adolphe Wangu Naja kwako Kutuliza moyo wangu mara Upendo unanifanya mjane wewe hai Mpenzi wangu niue wakati mzuri Adolphe
Ah Baba nalia nijibu samahani wapendwa Makaburi ya akiba shimo walilonunua pango Familia wamechoka kunifariji maana nakufa (tayari) Ah Baba nalia nijibu samahani Muteba.
Shimo la makaburi lilinunua caveau Familia imechoka kunifariji kwa sababu ninakufa (tayari) Ninaishi maisha yangu kwa siri Kwa sababu sifa yangu imechafuliwa nakuja kutumia hata wiki saoulée Kwa sababu upendo uko mbali nami ah Adolphe umenipata. Nimeenda mbali na mimi ah Mayday mayday mayday, tafadhali nihurumie eh Ah mama, maisha yangu yamekuwa magumu Tangu Muteba alipoondoka (Adolphe) Mpenzi wangu Tshilamwina tangu Nenda mimi si mwanaume Roho yangu inauacha mwili wangu bila mpangilio.
Seems Kilingala upo vizuri Mkuu?

Kumbe sababu haikuwa ni zile bia 5 nilizokunywa kunijaza huzuni ......shida ni upweke/mapenzi kama mashairi yanavyosema......

Pombe hufanya usimuhitaji Ras Simba kuweza kukufundisha Lugha, you just speak automatic 😜

Ngoja niamke nazo asubuhi hii labda nitaelewa mashairi ya wimbo wake mwingine wa "Eloko Oyo"🤗
 
Back
Top Bottom