Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,433
Sinywi bia, wala sivuti sigara bro.Njoo tunywe bia kaka
👉 Beside niko nanjilinjii mkuu 🤒
Sinywi bia, wala sivuti sigara bro.Njoo tunywe bia kaka
Kahudumie ndoa kwanza 😂😂😂😂Yaani sijaielewa ile comment yako ujue ina maana 😁😁😁
Hapa naomba ufafanuzi ko mlikuwadiana 🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️Uduguu wangu nampenda sana alinitafutia hadi babu wa kutoka naye humu 🤣🤣🤣
Udugruuuu ana mambo, halafu yule babu wa kwake sasa sijui alitaka kugindua nini.??
Kasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyu😁😁Kahudumie ndoa kwanza 😂😂😂😂
Duh alikutafutia babu gan tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Antonia uduguu wangu mi nampenda ndiomana namchana live na hata akinifurahisha nampamba live, halafu mi sio mnafiki namwambia ukweli….
Hata km ataumia ila ukweli kaupata, hata mimi nikizingua yy anichane ila kwa id yake halisi sio zile za michongo…..
Ukitaka ujumbe ufike vzr we mchane uduguu wako kwa id yako halisi….[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu wangu nampenda sana alinitafutia hadi babu wa kutoka naye humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Udugruuuu ana mambo, halafu yule babu wa kwake sasa sijui alitaka kugindua nini.??[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
😂😂😂😂 Nuzu mimi nipo na uduguu wangu jamani, uduguu ananipenda ww mpk muda huu bado nashangaa kwann alinifanyia vile??Hapa naomba ufafanuzi ko mlikuwadiana 🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️🙆🏼♀️
😂😂😂😂 UtasutwaKasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyu😁😁
Tena alinambia nisikwambie, hebu tuache na uduguu wangu 😂😂😂😂Duh alikutafutia babu gan tena?
😂😂😂😂 Nitamgeuza punching bag mi balozi akaulize Panda hill wampe taarifa zangu
Kwani ilikuwaje mpaka mkagombana na udugu wako,Watu wabaya sana mna wivu na penzi lao au kuna mengine😁😁😂😂😂😂 Nuzu mimi nipo na uduguu wangu jamani, uduguu ananipenda ww mpk muda huu bado nashangaa kwann alinifanyia vile??
Anyway labda shetani alimpitia, mi bado nampenda
[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo rafiki yangu Antonnia alikua ananizunguka? Ni Babu gan?Tena alinambia nisikwambie, hebu tuache na uduguu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marafiki waki gombana, njoo Mimi na wewe tuenzi huba letu.Kasafiri huu ni wakati wangu kupata ubuyu😁😁
Mimi kusutwa siwezi maana zaidi ya kuyasoma jukwaani huko pm sihusiki na sipendelei😁😁😁😂😂😂😂 Utasutwa
Hapo kwa babu inabidi uambiwe shem😁😁[emoji23][emoji23][emoji23]kwa hiyo rafiki yangu Antonnia alikua ananizunguka? Ni Babu gan?
Nkamu tulia kwanza, vipi disco la kule chengula hall vibe lake?!! 😂😂😂😂Pandahill ulimtwanga nani?🤣
Father Nyaisonga alikuacha kweli bila suspension?
Kwa kweli ngoja ninyonyeshe kwanza😁😁Marafiki waki gombana, njoo Mimi na wewe tuenzi huba letu.
👉Usije umbuka, ohh🤔🤒😀
Na uduguu wangu hatujagombana tuko salama kabisaa 😂😂😂😂Kwani ilikuwaje mpaka mkagombana na udugu wako,Watu wabaya sana mna wivu na penzi lao au kuna mengine😁😁
😂😂😂😂😂 HatareeeMimi kusutwa siwezi maana zaidi ya kuyasoma jukwaani huko pm sihusiki na sipendelei😁😁😁
😂😂😂😂 Unachochea motoHapo kwa babu inabidi uambiwe shem😁😁
Jambo jema kama ni hivyo, hebu nambie ni babu yupi ulikuwadiwa?😁😁Na uduguu wangu hatujagombana tuko salama kabisaa 😂😂😂😂