Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,203
Maajabu yanaendelea.😂😂😂kwenye hiyo list abaki karma tu😂😂.
Mimi Ni mzee kabisa
Maajabu yanaendelea.😂😂😂kwenye hiyo list abaki karma tu😂😂.
Mimi Ni mzee kabisa
Haya ndio maneno...[emoji1635]Haha
Sawa usijali...ASAP mkweo atakuona [emoji383][emoji385]
Yepi hayo mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]Maajabu yanaendelea.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo atakuwa Saint anne
Sasa hutaki kuja au?
She looks very innocent [emoji849]Picha yako na hizi fujo zako humu mtandaoni ni tofauti kabisaaaa teh teh teh teh teh
Nakukumbusha tu kwamba siku 7 zikipita unalirudisha na faini
[emoji23][emoji23][emoji23] hapajui anajibalaguza tu hapaHuyu wa kishua hawezi kupajua mwanjelwa
Msalime yule anayechezea simu kule karibu na ndoo za maji
Huyu wa kishua hawezi kupajua mwanjelwa
😀😀😀😀 kuna clip moja niliona yule alienda nalo kijijini...naona kajiandaa na faini yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua shoga nilitaka nilirudishe leo ila nimekosa nafasi nitalirudisha kesho na wamesema mwisho ni kesho kuanzia hapo ndiyo unalirudisha na faini
Dah![emoji7][emoji7][emoji7][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] hapajui anajibalaguza tu hapa
Mtu muda wote Yuko Forest ndani ya geti[emoji23][emoji23]Ohoooo
Umependeza
Nimezitafuta nimezikosa,hapa zimenikosa nitumie pm basi nami nikupe hongera zako 🤗Mbona zipo huko juu