Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Mmhh basi ungetumia unga wake wa majani au mizizi
Mbegu dada
Mbegu dada
Hapohapo kwa kina bhojan.Uhindini ipi unaizungumzia mama angu??
wewe haushindwi,, kama unaweza pitwa na picha humu utashindwa pitwa na sherehe kwa mkoa uliopo??





dah..
Nina matatizo ya kulinganisha.
Siwezagi kabisa
We dogo Mimi sijakulia mjiniUliniambia unakaa iwambi kwa wazee na nzovwe kwa sista sasa let's talk about huko kwa wazee ambako ndiko umekulia huko kwa sista si umehamia juzi juzi tu

.
.Weka tu ya zamani.Okay, subiri basi kidogo kinyozi amalize kuzichonga ndevu.
Nataka nikijifotoa niwe presentable.
Anko Juju. You're missed
Hapohapo kwa kina bhojan.
Sema siku hizi kumepoa poa sana



nilijua tuu
dah..
Hivi Kati ya Mimi na wewe humu Nani amepitwa sana na picha?
Au wewe shoga unaweza??


Nilishajitetea kuwa kamera ya simu yangu mbovu.Yako ikwapi?
Ooh ushuani kisasa.Kisasa.
Hahah that rolex thing...hata sijui huwa ni gani ile, labda tuite "ugandan pizza roll"