Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Tutake radhi Wana mbeya[emoji3]Hakuna kwa sasa...
Kamji kalivyo kachafu kale, wangekuwepo mji ungekuwa unapendeza kidogo...
Siku moja nitakuja Mbeya tena nikapnde ile lift [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Ati mbeya pachafu?
Na dar watasemaje??
Karibu Sana jiji la kijani