Wewe kweli mdogo wangu ni wa mbeyaWewe iwambi unaijua vizuri?
Umeshawahi pita Hadi kule Harrison uwata?
Kwanza Mimi mtu wa nzovwe itende huko![]()
Mkuu mbona we unataftiwa?Kwahiyo na wewe unataa utafutiwe mkuu,acha banah pambana tu utawapata
Doctor unatushaurije juu ya matumizi ya mlonge kat ya majani/mziziHuo mlonge ulitafuna majani au mizizi
NdiyoWewe kweli mdogo wangu ni wa mbeya
Wakishua wanakaa wapi pale karibu na uwanja wa baskeball jengo la nbc kule ndiyo wapiNdiyo
Nipo huku itende kalobe ndani huku
Hahahhaha acha wivu mkuuMkuu mbona we unataftiwa?
Nbc kule mjini(uhindini)Wakishua wanakaa wapi pale karibu na uwanja wa baskeball jengo la nbc kule ndiyo wapi
Mkuu mbona unatoa udenda kabla hata hujafika
Nakuja kyela utanipeleka nitembee nile ndizi zile nyekundu tamu tamuNbc kule mjini(uhindini)
Kule wanakaa mabillionea tu
Ndio.Teh teh...
Kuna intavyuu ya kujiunga std 1?
Nbc kule mjini(uhindini)
Kule wanakaa mabillionea tu
Kwanini wasiwepo?Mmmh...hivi Mbeya kuna hata bilionea mmoja?
Zamani alikuwepo Dhandu (sijui kama ndio spelling iko hivi)
Ndio.
Nitakupeleka tukuyu.Nakuja kyela utanipeleka nitembee nile ndizi zile nyekundu tamu tamu




Kwanini wasiwepo?