Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,212
- 29,374
Muda wowote naweka picha.Muda ndo huu hapa,
Endelea kuwa hapa mrembo wangu cheupe wa bombambili.
Muda wowote naweka picha.Muda ndo huu hapa,
😁😁😁Za asubuhi jirani 😁😁😁Eeeeee aloooooo 👌
Qmanina zenu bado hamjasema 😂😂😂😂
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyang’au wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotaka….
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na id’s za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uoga….. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga 😂😂😂😂😂😂
Aaliyyah usinifanyie hivyo my friend. Mimi nasubiri unitengenezee alafu wewe unakuja kunivunja tamaa hapa.Hivi Ile mocktail ulitengeneza😀
Sijaona mwaliko
Ngoja siku nipike nyoka, Kisha niku ite😀.Napenda sana kula hasa matunda 😁
Hapa Kuna vita inanukia.Eeeeee aloooooo 👌
Qmanina zenu bado hamjasema 😂😂😂😂
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyang’au wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotaka….
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na id’s za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uoga….. 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga 😂😂😂😂😂😂
Nyoka tena shindwa kwa jina langu😁Ngoja siku nipike nyoka, Kisha niku ite😀.
👉Hata bimkubwa wangu ana penda matunda, sema ye kazidi😀
Natania😝😝, sema mbona Kama jina kubwa mNyoka tena shindwa kwa jina langu😁
Sitaki😀🙄Nyie wazungu si watu eti hii ni mimi katika moja na mbili edit 😳😁😁View attachment 2917442
Sijakuelewa hiyo mNatania😝😝, sema mbona Kama jina kubwa m
👉Unge niambia hata kimvuli, ninge tulia😍😍
Sio lazimaSitaki😀🙄
Arrgh ni n bhana😀Sijakuelewa hiyo m
Jiamini halafu mimi nimekufahamu mda nini lengo lako twende hivyo then tuone mwisho wake nini 😁😁Arrgh ni n bhana😀
Mi navaaga mara moja moja sana hayo mavitu sina hobby nayo kiviiile! Hebu tuone ukivaa unavopendezaMnapendeza na ujasiri mnao nakumbuka nilivaa sababu Ilikuwa zawadi ilinitesa sana nahangaika kushtuka shtuka nikajua mdudu ananitembea shingoni 😂😂😂
Mwishowangu hereni
Mkopoa lakin
Moja kati ya kitu kigumu kuhusu Mimi, ni kujua what is my next step.Jiamini halafu mimi nimekufahamu mda nini lengo lako twende hivyo then tuone mwisho wake nini 😁😁
Kipenzi yashaisha hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Tin hebu tujuze sie ya huko PM
ambayo Rab kayaleta hapa, usiogopee tuambiee.
Napenda ubuyuu mie balaaa
Nakujua kwa nini nisifahamu hilo 😁Moja kati ya kitu kigumu kuhusu Mimi, ni kujua what is my next step.
👉Ni illusion yako tu😀🙄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kampyuku wa msamalaaa.Muda wowote naweka picha.
Endelea kuwa hapa mrembo wangu cheupe wa bombambili.
Nilitingwa mamy ndio nimerudi online saivi. Naomba unibles uliyovaa hizo urembo nione unavonoga!Eeh nasali kanisa jingine huko usabatoni nikiwa nyumbani .
Niambie kama upo nikuwekee hiyo picha .