Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,520
- 235,238
Picha iko wapi Mkuu?Mashabiki wa liva na yanga mnatutesa sana mitandaoni wallah.
Picha iko wapi Mkuu?Mashabiki wa liva na yanga mnatutesa sana mitandaoni wallah.
PouwaNilisahau afu ujue, [emoji23][emoji23][emoji23]
Next time ntaenda
Nimetobolewa nikiwa chekechea ccy, cheni labda nije nijaribu tenaWee hujatoboa masikio sis??? Mimi nilitobolewa nikiwa mdogo sana darasa lakwanza kama sijakosea! Cheni nahio shingo unanoga sana
Mnapendeza na ujasiri mnao nakumbuka nilivaa sababu Ilikuwa zawadi ilinitesa sana nahangaika kushtuka shtuka nikajua mdudu ananitembea shingoni 😂😂😂Asante dear.Mi hata nikikondaga bado inajikata sema nikinenepaga Ndio inakua tamu zaidi 🤠!
Cheni mara moja moja navaaga
Dah umenikumbusha mbali sana 😍
Oooh hapo sawaaa, sasa huyo Rab ulimpa access ya kujua kila kitu kuhusu wee JF kwann??Hapana sikwenda na sikurudi siku siku ya pili .
Hiyo thirty ni alinipa tu mkaka wa watu .
Kama ya usafiri ..
Just to clear the issue
Hakuna la zaidi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Tin hebu tujuze sie ya huko PMSahihi sana
Utaita maji mma kama Mimi [emoji23][emoji23]
Namaliza kwa yaliyopita hapo chini
I apologize kwenye hayo maneno ikiwa nilikusema pia ..
Maana nilisoma huku siku nikaona nilikuwa naonea watu wivu kwenye vocha wanazopewa . Jamani samahani sana kwa hao watu pia .
Ila Jf ukiomba msamaha hivi unaonekana weak au unajitilisha huruma jamani wakati unafanya tu vile moyo wataka .
Kwani kuna nn humu ndanii? Mtu anatuma pc sio zake au?Daah mkuu hii sio poa, hizi ni pic zake jamaa za muda mrefu sana. Nilikua sijaona hii huwa siingiagi huku sana, Ila nimeshajua ulipozitoa. Sio poa kabisa
Anyway
Muda ndo huu hapa,Mida ya saa mbili usiku nikila na kushiba nitaweka selfie.
Nime kukumbusha nini khabity wangu 😀Dah umenikumbusha mbali sana 😍
Nilikuwa naomba likizo ifike ili niende pwani kwenye mashamba huko kula nanasi.Nime kukumbusha nini khabity wangu 😀
Hahaha, kumbe una penda kula😀Nilikuwa naomba likizo ifike ili niende pwani kwenye mashamba huko kula nanasi.
Napenda sana kula hasa matunda 😁Hahaha, kumbe una penda kula😀