Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante sana nashukuru sana kipenzi
I appreciate your advice too .

Inatakiwa umaskini sana humu
Unaweza kutumika vibaya bila kujua .

Pia wale wanasema vibaya wenzao huko pm . Ila Jf ni 🔥

🙏🏿🙏🏿
Hakuna ambae hasemi wenzie humu sema ogopa Ndumilakuwili anaeng'ata na kupuliza Yani mmeongea kuhusu fulani anayabeba kumpelekea kama yalivo! Kama Unakumbuka selfika kabla ya kuvamiwa tulikua peace sana angalia sasahivi utaelewa ninachoongea!

Tuendelee tutupia mamy!
Imenipita jamani naomba urudiee uubles mchana wangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
 
Hakuna ambae hasemi wenzie humu sema ogopa Ndumilakuwili anaeng'ata na kupuliza! Kama Unakumbuka selfika kabla ya kuvamiwa tulikua peace sana angalia sasahivi utaelewa ninachoongea!

Tuendelee tutupia mamy!
Imenipita jamani naomba urudiee uubles mchana wangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!
Ni kweli kabisa Yani ulikuwa mzuri sana . Sema ukaanzq kuvurugika taratibu .

Huyo na anaengata na kupuuliza ni mbaya sana maana ukitoka tu ni anakusema Tena wazi wazi .
 
Ni kweli kabisa Yani ulikuwa mzuri sana . Sema ukaanzq kuvurugika taratibu .

Huyo na anaengata na kupuuliza ni mbaya sana maana ukitoka tu ni anakusema Tena wazi wazi .
Ni mbaya sana yani sasa wee jichanganye ! Anayapeleka kama yalivo nakusumbua watu wapo na mambo yao huko kutaka kurudisha vitu vishaisha muda mrefu!
 
Ni mbaya sana yani sasa wee jichanganye ! Anayapeleka kama yalivo nakusumbua watu wapo na mambo yao huko kutaka kurudisha vitu vishaisha muda mrefu!
Sahihi sana
Utaita maji mma kama Mimi 😂😂

Namaliza kwa yaliyopita hapo chini

I apologize kwenye hayo maneno ikiwa nilikusema pia ..

Maana nilisoma huku siku nikaona nilikuwa naonea watu wivu kwenye vocha wanazopewa . Jamani samahani sana kwa hao watu pia .

Ila Jf ukiomba msamaha hivi unaonekana weak au unajitilisha huruma jamani wakati unafanya tu vile moyo wataka .
 
Umenenepaaa sana lol shingoo iko so hooottt 🔥🔥🔥!! Hapo ni kupitishwa ulimi tuuuuu auweeee😍😍😍😍

Nougaaa sanaa mamy!
Eeh jamani 😂😂
Shingo ukinenepa na yenyewe imo 😂

Wewe pia una shingo nzuri sana unavaaga cheni ?
 
Sahihi sana
Utaita maji mma kama Mimi 😂😂

Namaliza kwa yaliyopita hapo chini

I apologize kwenye hayo maneno ikiwa nilikusema pia ..

Maana nilisoma huku siku nikaona nilikuwa naonea watu wivu kwenye vocha wanazopewa . Jamani samahani sana kwa hao watu pia .

Ila Jf ukiomba msamaha hivi unaonekana weak au unajitilisha huruma jamani wakati unafanya tu vile moyo wataka .

Katika lile Mimi sina tatizo kabisa yalopita yamepita..

We want ile selfika ya amani na upendo wa agape tulokua nayo tunacheka tunafurahi masaa yanasogea kila mmoja anaenda pambana na shida zake offline!

Ndiomana sasahivi watu hata wanaogopa kuselfika Sababu ya ujinga ujinga wa wachache!

Selfikaaaa mafoto kwakwenda mbeleeee
 
Attachments

  • IMG_20240226_131915_177~2.jpg
    IMG_20240226_131915_177~2.jpg
    789.9 KB · Views: 4
Katika lile Mimi sina tatizo kabisa yalopita yamepita..

We want ile selfika ya amani na upendo wa agape tulokua nayo tunacheka tunafurahi masaa yanasogea kila mmoja anaenda pambana na shida zake offline!

Ndiomana sasahivi watu hata wanaogopa kuselfika Sababu ya ujinga ujinga wa wachache!

Selfikaaaa mafoto kwakwenda mbeleeee
Amina na uwe hivyo .
Uzi Fulani hivi uliotulia , Hauna maneno .

Yeah kwa kweli hofu imekuwa kubwa mno ..

Shukrani sana Bossledi. 🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom