Haya usitoke .Nilitingwa mamy ndio nimerudi online saivi. Naomba unibles uliyovaa hizo urembo nione unavonoga!
Haya usitoke .Nilitingwa mamy ndio nimerudi online saivi. Naomba unibles uliyovaa hizo urembo nione unavonoga!
Watu wanaumiaje cheupe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kampyuku wa msamalaaa.
Bas ukisema hvyoo kuna watu wanaumia mnoo.
Nipo nasubiri naked akoo hapa.
Uwe unavaa sis Tena saivi uvonenepa na shingo ivojikata utapendeza zaidiNimetobolewa nikiwa chekechea ccy, cheni labda nije nijaribu tena
Poapoa kipenziHaya usitoke .
Uduguu usinikaushe kizazi na moyo, kifua kimetuna ntapata pressure ya ghafla bureee.Eeeeee aloooooo [emoji108]
Qmanina zenu bado hamjasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyang’au wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotaka….
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na id’s za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uoga….. [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumeshakuchaaa hapa tayariiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Za asubuhi jirani [emoji16][emoji16][emoji16]
Jirani kaenda kuvaa taiti leo kazi ipo😁😁Kumeshakuchaaa hapa tayariiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nawee unapendaa ubuyu daktareee?? Mbona sitaki kuaminiiii etiii?Hapa Kuna vita inanukia.
Ngoja niagize popcorns.. Oya Binti cheupe cocastic na mrembo wangu Saint Anne ,zoezi la picha tughailishe kwa usiku huu kwanza,Kuna dharula.
Wee hebu tujuzee bhanaaa, yaan natamanii ufunguke mwa mwiii, nipatee ubuyuu ulokamilika.Kipenzi yashaisha hayo
Mie mwenyewe mkosefu katika hili .. na sio innocent.
Mengine nishafuta kwenye ubongo na kuchoka huku ndo kabisa
let bygones be bygones .
Sema hii ni Mara 4, una question royalty yangu 🙄😀Nakujua kwa nini nisifahamu hilo 😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawatakii niitwe cheupee.Watu wanaumiaje cheupe?
It's not about kupenda ubuyu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani nawee unapendaa ubuyu daktareee?? Mbona sitaki kuaminiiii etiii?
Ah sitaki kufukua mambo mieWee hebu tujuzee bhanaaa, yaan natamanii ufunguke mwa mwiii, nipatee ubuyuu ulokamilika.
Mnauleta mdo mdo, bas wambea tunabaki kuugulia na kiu ya kuujua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanyaa kuumwagaa wotee hapaaa,
Mbona unapendeza sana tu zinakutoa vizuri kumbe uwe unavaa! Umependeza sana!Hereni yenyewe Sasa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiri kwa hamu uduguu anguu, afu hana jambo dogo sasa.Jirani kaenda kuvaa taiti leo kazi ipo[emoji16][emoji16]
Watu Wana wivu na vitu vidogo vidogo sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawatakii niitwe cheupee.
Woiiiiiih,
Sema napotezaMbona unapendeza sana tu zinakutoa vizuri kumbe uwe unavaa! Umependeza sana!
Namaanisha ukiona hivyo😁Sema hii ni Mara 4, una question royalty yangu 🙄😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziiii.Inshu
It's not about kupenda ubuyu.
Tatizo ni ishu ya trending. nikipost picha haitatrend coz watu wako bize na ubuyu hahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo ndo unafeliii tin, pepo la umbea linakutokaje haraka na ghaflaa hiviii??Ah sitaki kufukua mambo mie
Nisije chambwa Tena [emoji23][emoji23]
Naishia hapo hapo tu .
Mimi niliingiwa na pepo la umbeya na limeshatoka tayari [emoji23][emoji23] .