Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Yani ni kuwaangalia tu kama kideo na vichwa vyao kama amira.Selfie yako imenipita jamani. Sema uwe makini sasa Ndumilakuwili ndio tumejaa humu mtu anakuchekea kukutease then anaenda upande wa pili anayamwaga yote mlioongea huko nako anayachota kukuletea wahivo ni zaidi ya hatari
Kuna Watu kutwa kuhaha pm kuulizia taarifa za watu ili azipeleke vizuri ili ku create enmity wapate cha kujadili take care !