Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,256
- 183,153
Yeah. I realized thatNi filter, kwa ajili ya ku musk baadhi ya features...
Yeah. I realized thatNi filter, kwa ajili ya ku musk baadhi ya features...
Doc kitambo sijaangalia muvi... I would like to experience that namesake with youDa'Vinci njoo tumwangalie namesake wako...View attachment 2913733
Tajiri wa roho weweUtajiri nautoa wapi mdogo wangu
Mimi kapuku tu
Nimekuja tayari
Gwe nkamu ugweeMimi huwa sifukuzi wageni nkamu...😉
Kabali yake chino😂😂😂😂 ubuyu wetu ufike kwa wakati sio tuanze kuteseka
Gwe nkamu ugwee
Hebu punguza ile emoj kwanza halafu nijue kama msaada wa mapazia nakupa au sikupi.
Chino wana man upo?? Na wewe km kaka kuona khaa!! 😂😂😂Kabali yake chino
Uduguu nimefika japo kwa kuchelewa, nilikuwa safarini leo…Lamomy uduguuu uko wapiiii nna jamboo nataka nikupeee, cna kifua hicho cha kuhifadhiiii.
Hebu fanyaa ukujee hukuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oyoooooooo.!!! Wifi la dunia 😍😍😍😍Jumatatu naenda kujaza fomu mkopo kausha damu....😂😂😂 Udugu haiwezi kupata tabu Mie nipo
😂😂😂😂 na ndo tunaamka uko wapi??
😂😂😂😂 Walete ubuyu kwa wakati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan uduguu, mie huku mbavu zinauma kwa kucheka.
😂😂😂 hata km vimepasuka tutavibeba vyombo vyetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli atuambie tuvifatee wenyewee.
Hahaha nimecheka kinomaChino wana man upo?? Na wewe km kaka kuona khaa!! 😂😂😂
😂😂😂 Weee kaa kwa kutulia, mwenzio nishatolewa mahari japo kwa mbinde sana na bwana harusi….Hahaha nimecheka kinoma
Endelea kunitunzia tu.
Very soon narudi mchuchu.
Dah umeamua kunipiga na kitu kizito mchuchu😂😂😂 Weee kaa kwa kutulia, mwenzio nishatolewa mahari japo kwa mbinde sana na bwana harusi….
Umechelewa kalamu imeshaliwa 🤣🤣🤣