Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kumekuwa na joto🙌
Sisi bado ngoma mbichi
Hivi majira uwa yanatofautiana mkoa kwa mkoa? Hii Feb Arusha jua linawaka na ninadhani uwa inafika mpk March. Kisha April mvua..

Baridi linapendeza. Halichoshi kama jua
 
Hivi majira uwa yanatofautiana mkoa kwa mkoa? Hii Feb Arusha jua linawaka na ninadhani uwa inafika mpk March. Kisha April mvua..

Baridi linapendeza. Halichoshi kama jua
Sisi mvua zinaanza tena mwezi huu mwishoni.
Tunaanza tena kulima.

Jua limewaka waka sana pia.
 
Back
Top Bottom