Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,264
Mtego huo NkamuNjoo nkamu, tubadilishe mapazia...😊
Mtego huo NkamuNjoo nkamu, tubadilishe mapazia...😊
Whipping cream ndio inanoga sanaNo,huyu anaweka cheese km cheese.
Kuna mmoja ye anaweka milk cream, siikubali sana sbb inakifu
Zipo kadhaa huko nyuma, na jana ipo moja...
Nitakutag sasa hivi kwenye yenye nimeweka jana Jo...
Kama ni shumizi ngoja nikuguglie 😁
Mtego huo Nkamu
Kumbe mtu nane una siksi paki na husemi 😍
Hivyo hata mi sionagi 😁Nataka ona visivyoguglika...
Nimeona
Ukiwa unaweka usinisahau 🙈
Hivyo hata mi sionagi 😁
Karibu sana sebleni Mirror🪞! 😁😁Natamani niwe kioo (a mirror) chako right now