Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20240223_004555.jpg
 
Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban 😁tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.😳kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna😁
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu🥰

Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea 😁View attachment 2912635
Kuna nyie wataalamu wa mapishi halafu kuna sisi tunaopika kama walaji wenye njaa.
 
Vijora pambeee viko oledee, tarumbeta na vigoma kutoka vikindu nshaandaa,
Shughuri itamalizwa na kikundi kutoka kitunda mwana gatiii

Sherehe imepata mshereheshajiii,
Wifi mtu nitakuja na kundi la vyura kutoka Chanika, na vijora vyetu vya mpasuo.
 
Back
Top Bottom