Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alisema baki na washenzi wenzako wa JLW 😂😂😂 nikamwambia humu ni wa Word tu zingine story. ila hajui file lilishafungwa
😆😆😆 ajue asijue, file halituhusu.
BTW, mpigie Word. Arudi Jf, tumemmiss 🤣🤣🤣🤣
 
Aikoooh 🤪 🤪 Sendoff nyoko, labda uji sendgero mwenyewe. mzaa chema akawindwe sasa, Hongera kwa kuyakanyaga🤣🤣🤣🤣🤣
Una bahati hapa sio PM. Ningekusuuza na kiswahili kikali 🤣🤣😏😏😏
 
Aikoooh 🤪 🤪 Sendoff nyoko, labda uji sendgero mwenyewe. mzaa chema akawindwe sasa, Hongera kwa kuyakanyaga🤣🤣🤣🤣🤣
Yan wewe
Hautakaa upate mwaliko
Nakuona kabisa ndio wale wachawi wanaochezaga karibu na keki, ili imradi tu ianguke
 
😆😆😆 ajue asijue, file halituhusu.
BTW, mpigie Word. Arudi Jf, tumemmiss 🤣🤣🤣🤣
Yupo atakua na fekero jingine mpenda kuwinda yule kama simba jike 🤣 🤣 🤣 🤣
Una bahati hapa sio PM. Ningekusuuza na kiswahili kikali 🤣🤣😏😏😏
Tumeitangaza amani lakini. right? Au ndo umenifichia mapanga?
 
Wewe na mm amani wapi na wapi?
Mapanga yako nyuma ya mlango
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kwa muda tu wa Kipindi cha toba please, kwanini hatuelewani komwe, halafu usione najishusha sana kwako nitamtag akuone unavyojiuza
 
Keep moving 🤣🤣🤣
Ila nakuhakikishia hutoboi. Suala la wewe kujishusha ni unkwepable, hata ujikaze vipi.

Nilipo-italic sikusamehi leo wala kesho.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kwa muda tu wa Kipindi cha toba please, kwanini hatuelewani komwe, halafu usione najishusha sana kwako nitamtag akuone unavyojiuza
 
Kam kauwaaa kam dauwaaaa.. ✌️Hasimu jana nilipitwa na foto yako do the needful 🤳 one time pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!

IMG_20240222_140132343.jpg

cc Joanah Saint Anne
 
Keep moving 🤣🤣🤣
Ila nakuhakikishia hutoboi. Suala la wewe kujishusha ni unkwepable, hata ujikaze vipi.

Nilipo-italic sikusamehi leo wala kesho.
Aikooooooh utanisamehe ukijua the struggle is real and alive. 🥳 i know him in pint sized he's silly billy brutal🤣. Utaona, kwanza kunasehemu nimeona mwandiko wako nijazie A4 Sio wewe PM
 
Aikooooooh utanisamehe ukijua the struggle is real and alive. 🥳 i know him in pint sized he's silly billy brutal🤣. Utaona, kwanza kunasehemu nimeona mwandiko wako nijazie A4 Sio wewe PM
Si nimesema nimezima gari au? Nimelock na handbrake, haisogei popote.

Pm siji 🤣🤣
Labda uanze kuandika ulichoona
Utoe desa
 
Back
Top Bottom