Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
Nasemaje traaaamuu 🤸♀️
Nasemaje traaaamuu 🤸♀️
Hadi wang’oane mbupu au kimisi wao tyuuu!!Sisi yetu macho wasije toana roho tu😁😁😁
😁😁😁😁😁Hii comment yako imenichekesha mno😁😁😁Hadi wang’oane mbupu au kimisi wao tyuuu!!
Kikubwa sie wambea tupate ubuyu kwa wakati 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 Rab aje atuambie tu kwakweli vyombo viko wapi tukavifateNdo hatujui sasa, Rab ndo atueleze vya pesa ngapiii
![]()
😂😂😂😂 ubuyu wetu ufike kwa wakati sio tuanze kuteseka😁😁😁😁😁Hii comment yako imenichekesha mno😁😁😁
wanatuiga mabachela
Huku wanabebishwa kumbe huko mibaba na mimama ya watoto na jioni wakirudi wanaamkiwa shikamoo mama/baba
Huku sasa wohiiii![]()




yaan fulll tafraniiii.Rab aje atuambie tu kwakweli vyombo viko wapi tukavifate



kwa kweli atuambie tuvifatee wenyewee.Hadi wang’oane mbupu au kimisi wao tyuuu!!
Kikubwa sie wambea tupate ubuyu kwa wakati![]()



yaan uduguu, mie huku mbavu zinauma kwa kucheka.
Mtani sipo bongo now mpira naangalia na Azam maxKhaaa mbona muoga hivyo mtani? Yani unafunika mpka mdomo...uwanjani utaenda kweli jmosi... 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Bado hujasema




Wee uko hapo kigamboni kisiwani, unataka kudanganya nn hapa?Mtani sipo bongo now mpira naangalia na Azam max






Nina miezi 2 sasa sipo kigamboni dada yanguWee uko hapo kigamboni kisiwani, unataka kudanganya nn hapa?
Mtani taratibu mambo yako
Kila nikifumba macho nasikia lalalalalelele sate sauzand.Bado hujasema![]()
Wee mtani acha uongo wako hapa,Nina miezi 2 sasa sipo kigamboni dada yangu




Kila nikifumba macho nasikia lalalalalelele sate sauzand.
unashindwa kwenda kumkumbatia Mjep huko na hili baridi.
Wifi wifi tusitafutane ubaya.



kwa njegeka alizofanya, hata hamu ya kumkumbatia nnayo bas? Atakumbatiwa na wengine.




Achana na hao wachonganishikwa njegeka alizofanya, hata hamu ya kumkumbatia nnayo bas? Atakumbatiwa na wengine.
Hata hao anao wapa sate sauzand.
![]()
Wacha wee uko italianooo? Haya bhana usisahau kuniletea divai.
Achana na hao wachonganishi
Mim nakupàtia kaka angu wote wote.



kaka ako huyo muambie anipe na mie sate sauzand kwan.