Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Muhogo wa jang’ombe sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhogo mtamu ww hafu uwe wa kugombania sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu wee.
 
Akatoe huko alikoweka, atuletee hapa, tena ndo ntakutunza siku ya harusi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Nasemaje vyombo vifike hata vimetumika tunavitaka
 
Huu uzi kama una ibilisi bin shetani maana vyanzo vyote vya bifu huanzia uzi huu unahitaji upako si bure[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ni wa ntenteme ntenteme, kudolishiana mibarikio inayochachafya kaka zako wa humu.
Bas bifu linaanza hapo
 
Kabisaa maana ndoa humu zimeshindikana kabisa kutokea zaidi ya vijembe na mafumbo kwa walioshea hogooo🐒🐒
😂😂😂😂 ndoa mchezo??
Humu ni kuchachuana tyuu!! Ndoa zitafungwaje na watu tyr wameoa na kuolewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndoa mchezo??
Humu ni kuchachuana tyuu!! Ndoa zitafungwaje na watu tyr wameoa na kuolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa najiuliza wake au waume zao wa ukweli huko majumbani wanajua, watu wao njegeka wanazokutana nazo humu?

Wangewaonea huruma haswaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Au km vipi tuvifate na kirikuu kwani vingi sana?? Vilikuwa vya shingapi??
Ndo hatujui sasa, Rab ndo atueleze vya pesa ngapiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom