Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona km una laana seleee, aaah seleee,
Unatafuta lawama seleee, aaah seleee.
😂😂😂😂😂 selemani mtoto wa Side mnyamwezi, babu yake mtoto Iddy wa Juma nature
 
Basi bhana ninamuda mrefu sana sijajipikilisha nyumban 😁tangu juzi nasema nikitulia nitapika maana Nina hamu sana ya kula chakula nilichopika mwenyewe.😳kila siku ni mbanano sasa leo nikasema hata iwe saa saba ndio narudi nyumbani ni lazima nipike hakuna namna😁
Na hiki ndicho ninachokipika muda huu🥰

Karibuni wanaselfika tule pamoja maana ninauhakika asilia buku nikashamaliza kupika hamu itakuwa imepotea 😁View attachment 2912635
Sawa sawa
 
Na usipofungwa, hautakiwiii kupoaaa huu, yatakua matumizi mabaya ya uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana nyie kila leo mnagombea mhogo wa nyama,hii vita itaisha kweli humu🐒🐒
 
Maana nyie kila leo mnagombea mhogo wa nyama,hii vita itaisha kweli humu🐒🐒
Muhogo wa jang’ombe sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo 😂😂😂
Muhogo mtamu ww hafu uwe wa kugombania sasa 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Muhogo wa jang’ombe sijaulamba mwiko
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo 😂😂😂
Muhogo mtamu ww hafu uwe wa kugombania sasa 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
Hao kaka zangu wanao mix bebezii za humu kama nawaona huko wanachekea chooni😁😁
 
Maana nyie kila leo mnagombea mhogo wa nyama,hii vita itaisha kweli humu[emoji205][emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iishe kwa kipiii? Hadi huo muhogo wa nyamaa ukatike na usisimame tena milele.

Bila hvyo vita ni endelevu.
 
Back
Top Bottom