Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,201
Mimi nasubiri yako usinikatishe tamaa umeniahidi wekaHakuna haja ya kuweka hapa picha maana watu wanatujua kuliko hata tunavyojijua wenyewe hahahahaaha
Mimi nasubiri yako usinikatishe tamaa umeniahidi wekaHakuna haja ya kuweka hapa picha maana watu wanatujua kuliko hata tunavyojijua wenyewe hahahahaaha
Rudi huko juuKaandika wapi hayo mpendwa nikajisomee na mimi
Hahahahaha sitaki mambo ya presha mimi,Yaani namseti mrembo hutaki aisee
Aisee unanidanganya hadi mimi bibi yako.Rudi huko juu
Yan wewe mdogo wangu wa mwisho kabisa emu tusisumbuane basiAisee unanidanganya hadi mimi bibi yako.
UmenisikitishaHahahahaha sitaki mambo ya presha mimi,
Nimefanyaje tena ....nimetoka nduki hahahahah hakuna nimetaka ipite tu maisha ni matamu kwa kuumiza kichwa kwa vitu vidogoMbona kama ume.....!!![]()
![]()
Aisee mjukuu wangu umevuta cha Arusha mda huu.Yan wewe mdogo wangu wa mwisho kabisa emu tusisumbuane basi
Hivi kumbe una fujo hivi hahahahahahaUmenisikitisha
😁😁😁😁Hivi kumbe una fujo hivi hahahahahaha
Unanitafutia mchumba kaka yako, wakati unajua kabisa kaka ana mke kabisa
Na wewe unataka kusema 95 ulikuwa advance au second year?!!
![]()
Nimegundua leo kumbe nawe unatumiaAisee mjukuu wangu umevuta cha Arusha mda huu.
JamaniNilikuwa kwenye intavyuuu ya kwanza...
Hivi kumbe umeshafikia miaka ya uzee unamdanganya naniAisee unanidanganya hadi mimi bibi yako.
Dini inaruhusu 3Unanitafutia mchumba kaka yako, wakati unajua kabisa kaka ana mke kabisa
WeweHivi kumbe umeshafikia miaka ya uzee unamdanganya nani
Kibamba CCM/CHAMA
J2
Kulia kama unatoka mjini baada ya manispaa ya Ubungo
J5
Kushoto kama unatoka mjini unafuata barabara inayoenda Mloganzila Hospital unaulizia utaelekezwa