Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Umeondoa rangi tena. Namuona auntie kwa mbaali.
Umeondoa rangi tena. Namuona auntie kwa mbaali.
Ohoo hakuna anti hapo! Umemuona cheusi sasa ???Umeondoa rangi tena. Namuona auntie kwa mbaali.
Wapiiiiii, namuona cheupe.Umemuona cheusi sasa???
Haya nimekupa go ahead, nenda huko mtandaoni ukazilete picha OG, namashaka na weew mwanaume utakua sio riziki weweKwanini mnatumia picha za watu and yet mnazi crop ?
mxiewwwZee la Kihaya jeusi bwana.Wapiiiiii, namuona cheupe.
Black Ninja
Mkuu Babylon wakiona ninja lazima upigwi mkono pembeni.
Haya nimekupa go ahead, nenda huko mtandaoni ukazilete picha OG, namashaka na weew mwanaume utakua sio riziki wewemxiewww
Hapana ni jina tu, huyu mwanaume kutwa kuweka picha humu kushindana na dada zake. Sasa sijajua hko ulaya ana bdba box kweli au ndio sio riziki tena. Niko na mashaka nae mmHahah...hivi unajua jina lako la aidii limekaa kizungu kiasi kwamba huwa ukiandika hivi...najaribu imagine vile mzungu ako anachamba mtu
Apo imeshaiva best ,cheese tuu niliweka kidogo kwasababu napenda izo mboga mboga zikiwa ivoPizza umejaza sana vitu juu yake itaiva kweli best.
Hapana ni jina tu, huyu mwanaume kutwa kuweka picha humu kushindana na dada zake. Sasa sijajua hko ulaya ana bdba box kweli au ndio sio riziki tena. Niko na mashaka nae mm
Title ya hizi picha zako kama siyo za ku download basi umejitumia whatsapp![]()
Nehiiiii!Zee la Kihaya jeusi bwana.
Ebu achaa na comments zenye kuushushia CD4 bana.....Hapana ni jina tu, huyu mwanaume kutwa kuweka picha humu kushindana na dada zake. Sasa sijajua hko ulaya ana bdba box kweli au ndio sio riziki tena. Niko na mashaka nae mm