Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mangii nishaingia #maranguu ngoja nikate kiu kwanza
IMG_20191202_143132_513.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia dogo. Siku ile umenitumia meseji nilikuwa Mwanjelwa (we mnyakyusa wa mjini utakuwa hupajui ila Saint anne lazima anapajua) nilirudisha jibu halafu nikaweka tena simu mahali pake jioni naiangalia simu kumbe sikuwa na SMS kwa hiyo meseji ikawa imefeli kuja.
Huyu wa kishua hawezi kupajua mwanjelwa
 
Back
Top Bottom