Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaaa mbona muoga hivyo mtani? Yani unafunika mpka mdomo...uwanjani utaenda kweli jmosi... [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Haendi kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sioni pichaa,
Unapika nn chibongeee?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Aunty abiria una vidole vizuri vya kubebea glass ya wine 😍
 
Watu na vikao vya mahari mjiniii, harusiii tunayooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haiya iyaah kuolewa ntarudi nyumbani kutembea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Andaa vijora vya kuwakaribisha wachaga mdogo angu harusi tunayo…….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…