Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

National Anthem 🤒
Screenshot_20230825-212029_1.jpg
 
Kuna wanawake majasiri mnatuma pic za nyuchi zenu?? Sura zenyewe zipo vile how mipidido?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Udugu nirushie hilo pdf la nyuchi na huyo aliyebong’oka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbe watu wanabong’oka na hamsemi?? Nyie me sitaki khaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umeifaidii selfikaaa.
 
Hiyo zawafi yake napokea mimi madam
Tuna makubaliano ya kisheria kabisa zawadi zoote za cocastic napokea mimj
Naomba inifikie chap[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hogopiiii?? Chako changu, changu ni changu.
 
Kila wanapogonga wanakula zausooo wanajipeleka kwingine zausoooo wanaishia kujadili kotas tyuuu yote hii ni Tanzania mbwa nyieee kuna shule zipo vijijiniii hakuna hata nyumba nzuri za maana kupanga nyumba zilizopo za udongooo tuu na wenzio uliowakuta wanakaa humohumo wewe so ni lazima ukubaliane na mazingira bado watoto sana mkikua mtaelewaaa maisha yalivooo mikkunduuu yenuuu wotreeee;!!

Haya pamoja nahizo kotaz mbona [emoji1702] zangu zinazidi zenu???? Mtakufa na vijiba vyarohooo wauza kei wakubwaa nyieeeee!!
Leo umeamuaaaa, hakika shouzzzzz heka heka unaziwezaa, na umefuzuuuu.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] sina cha kukudaiiiii.
 
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaa....!! Yanu wanawake sisi kwa sisi hatupendaniii Ndiomana ni Bora niwe na marafiki wa kiume tu nao ukicheka nao mkafurahii unaambiwa wamekulaaaa hahaaaa!!

Mdada yuko radhi akukandieeeee akuongeleeeee vibayaa ilimradi tu anamtaka au anamtamani huyo mwanaume!! Mwingine anakukasirikia kabisa kisa tu ukaribu na mkaka fulani humu yanii ! Mwingine hadi anataka kumpangia huyo mwanaume usiongeee au kuwa karibu na Antonnia humu nyieee!!!
Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenzieee!! Kila mmoja ashinde mechi zakee wanawake wenzangu Wanaume wenyewe hawaaa akishakukojolea tu [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Tapikaaaa shouzzzzzz,
Temaaaaa temaaa manenooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo alienituhumu alikosea sana na uzuri anajua kabisa object of the conflicts na bado anakaza fuvu eti Mie mchawi katu sijawahi chokoza mtu humu ukiona nimejibu jua imekua too much na nakaaga kimya tu wananiona boyaaa sasa ndio naeaonesha katu sijawahi omba msamaha wala kurudiana Nahuyo mtu waoo! Never!!
Afu acha kiherehere nawewe!

So unataka mtu anipangie cha kufanya humu???? Kama napost picha za uchi wao wanaumia nini ???
Ndonyie mliojifanya kuisema selfika blah blah mpaka waleo hii mmeganda na kukomalia hapahapa nawengine mlijifanyaga hamselfiki sikuhizi sijui mmewashwa nanini treeenaa mnakuja kwaspeed kweliii! Nhahaaaa!!
Wanaumee km mabintiiii, wanawakee toleo jipyaa afu hawajaji kubaliii achanaa naoo.
Wasikupe jashoo bhana wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchawi si lazima arogee wapendwa mwingine huyuu hapa ambae alijazia nyama kutoka kwahuyo mchawi wa hapo juuu !!
Teeeenaa huyu unyafuzi hiki kipindi alisema nahaha sana nimechanganyikiwa kwakua bado nampenda huyo mtu nakwamba mimi namuomba msamaha huyo mtu mwenye kapo zake mpya humu ili turudiane!!
Huyu alikua anachukua kila kitu ninachokifanya humu anaenda kumwambia jamaa na kunipondea sana!
Naniii huyoooo?? Mtajeeee!!!
 
Back
Top Bottom