mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,922
ah wapi unakula na wahindi🤭 bado sana najitafuta kwaza
ah wapi unakula na wahindi🤭 bado sana najitafuta kwaza
😅😅😅😅🙏🙏Mnang'aaa 🔥🔥🔥
Au una mg'ao wa DP World
Senkyuuuuuumependeza
Asantreeeeeeeeee 😍😍😘!! Nougaaa sana mama pastaaa mtrotro potrabo mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!!!Selfikaaa
😂😂😂Mzuri JF nzima hakuna mzuri kama ww mke wa mzungu![]()
Santeee shoooAsantreeeeeeeeee 😍😍😘!! Nougaaa sana mama pastaaa mtrotro potrabo mmoja matraaatraaaaa sanaaaa!!!
Mshono huo👌👌👌👌!!
kama una mgao wa DP World.. fanya ka kuamala dada yangu mtumishi .. unarudi kuwa mtoto 🙏🙏😅😅😅😅🙏🙏
Sisi sio milima tutakutana
Shukrani sana kipenzi tena nilikutafuta sana bora nimekuona nakuja unipee shougaaangu!!Santeee shooo
Usijali,nitakupa mshono pm
Ni Yesuuu, ni pesaaaa 💃💃😂Yani unazidi kupendeza sana Siri ya mafanikio yako ni Nini mrembo
DuuuhMchawi wakwanza huyuu hapa alikili mwenyewe kunifatilia kila kilicho changu humuu !
Unaeza kuona hadi kanitaja kabisa....
Umeona alichosema hapo kwamba mimi naonea Wivu kapo za jamaaa na wakati huo unajua alikua anatrend nanani humu???
Turiaaaa hapohapooo sijamalizaa
Mods hii ni ya hapahapaa jukwaani pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
😅😅😅😅 nakula mawe.. stock market inasemaje ?
😂😂😂kama una mgao wa DP World.. fanya ka kuamala dada yangu mtumishi .. unarudi kuwa mtoto 🙏🙏
Vipi tuku oneshe mgahawa wa wajapan😁🤒ah wapi unakula na wahindi
Sija Zama huko toka juzi, ila nili Acha net flix ana kimbiza🤒😅😅😅😅 nakula mawe.. stock market inasemaje ? View attachment 2728104
Ni Yesuuu, ni pesaaaa![]()
nasubiri muamala tu hapa 😅😅😅.. dogo mwarabu walimpiga china wakanirudisha tena 🙏🙏🙏🙏.. ila muamuala wa DP World nausubiri 😅😅😅😅