Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Udugu nipe pesa pdf nilizonazo za moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie siku malaika mtaka fujo akinivaa hihiii patakua hapatoshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu hebuuu tumaa harakaa.
Pesa unaijua weyeee? Mfyuuuuuh
 
Nitumieee huo mbong'okooo niuoneee, nichukue notes, nimtegee babee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

STAKI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitumie vocha ndio nikutumie
 
Wewe pic yako haina shida nakujua sie si ndo viherehere wa kuselfika humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna hizo Pipo hata sijui km zenyewe zinajua km wapo kwenye pdf wanasemwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu pic ya dada mbong’oko nimeipata banaa woiiiih khaaaaaa!!! Nyie mi staki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nitafute nikupe pdf ujichekee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tujuzeeeee
 
Huyu Ali mlipua jayz🤣😂😁🤒, mpaka aka Lia studio🤒.
👉 Ngoma ya ether
Nas ni 🔥🔥🔥🔥🔥

......
Kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
Kaa mbali eeh eeh
Eh aah aaaah kuna jela
Noma sana
Aah aaaah kuna jela...

😅😅😅😅😅😅.. acha badae niende mahala DJ nimpe kazi ya kunipigia hii ngoma hadi wakome
 
Nimechoka pic za wadada wengine wamama watu wazima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie kuna watu wanajichetua humu kumbe mabibi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kweli jf ni msitu wa watu pori dadeq
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahha yangu hujafanikiwq kuionaaa??
 
Mimi ningekua Nataka kurudiana nahuyo mtu ni kugusaa tu wala nisingetumia nguvu yoyote!! na sina sababu ya kuwaletea chokochoko Humu because I know the man nje ndani!!! Yanii namjuaa kuliko wanavodhaniii!! He never love then No!!! Hajawahii wapendaaa hata mmoja ni wenyewe kujipeleka tu !!
Tangu kipindi nikiwa nae Kuna ambao walikua wanamtumia nyuchi zao pm yanii yuchiii kama ilivooo eti mtu anaomba ushauri kwamba yuchi wake umekaaje!!

Kunanwaliokuwa wanamtumia videos wakiwa uchi kitandani wameweka mto kati ya mapaja wanakatikia mito na kuonesha mawezere yao yanavobounce back.. 2019 kuna ki pimbi kimoja kilimtumia kapicha kako bichi kamebon'goka na kichupi tu juu sidiria kichwani wigi na miwani.. kilivo kifupi kilikua kama mbuzindama mweusi !!

Hao wa kutuma maziwa njee ndio usiseme! Hapo mi na jamaa ilikua mapenzi shatashata humuu Wivuuuuuuuuuu!
na that time alinipaga hadi Password yake niliona kila kitu!!
Madame who is chokozaring youuu....ngoja Kwanza Instagram kumenoga bwanaa kesho ntakuja
 
Back
Top Bottom