Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Udugu kesho nidai vocha sawa?? Mwanamke wa shoka unajua wewe!!! Una maadui wengi lkn umekataa unyonge yani unashambuliwa na gender zote na bado uko front unarusha makombora so mchezooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina kufeliiii.
Ni ngadu kwa ngaduu.
 
Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!
Cha kushangaza hadi ratiba zao za kuliwa unaambiwa kuanzia wa kuliwa Gym hadi wa kuachwa wamelala ndani badae ndio wanaenda makwao mxxxieeww!!
Shouzzzz mbna ubuyuu wa motoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu taarifa zake sina.
 
Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja
E86EAF3D-8795-4846-81DC-265D8906221D.jpeg
 
Weee uduguuu sihitaji vouchaaa zamtu baba chanja anajiweza sana tu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hio sandakalawee iweke hapaaa afu Vocha za wengine hazinogiiii waache kuiga kunya kwa tembo!!

Kwanza mbona namie nilikuaga naweka vocha humu hilo jina la boss Lady unadhani lilitoka wapi???

Wakwendreeeee zao wakajipange upyaaa!!
Ongezaaa sautiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto wa kiume unasubiri maokoto ya mwanaume mwenzio kweli?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa kina dr kumbuka waliochangamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena anasisitiza boss unaweka saa ngapi?? Silali leo nasubiri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom