Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weee!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namna hiyo ndo tunataka sio mwanaume na pumbu zake mbili anaomba na kusubiri vocha kwa mwanaume mwenzie afu anajiita tajiri Mxxiewwww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nlishasahau kununua voucher, tarehe 11 nlikuwa na 70 GB. Kila mwezi naweka GB 120, ungekuwa karibu Free Wi-Fi inakuhusu, Plus nina internet yangu binafsi unlimited sema ni proxy kwenye smart TV na PlayStation inaleta shida lakini ku stream Movies na matumizi ya ujumla kwa internet iko 🔥🔥, nanunua hii kwa sababu inanisaidia kwenye Tv, Playstation na vitu vingine. Nipo Full tajiri.
Screenshot2.png
 
Hao wanaokitembeza hawawaoni wanamuona Antonnia tu afu mi niwachafue kwakipi cha maana kwanza??? Wana nini yaniii???
Mbona mtu mwenyewe alikua anakili kutema big g kwa karanga zakuonjeshwa!! Hebuuu waniwachee miee
Treinnnaah wanikomee kabisa kunihusisha sina muda nahuyo mtu wao mpaka nihangaike nae mie!

Hatareeee
 
nlishasahau kununua voucher, tarehe 11 nlikuwa na 70 GB. Kila mwezi naweka GB 120, ungekuwa karibu Free Wi-Fi inakuhusu, Plus nina internet yangu binafsi unlimited sema ni proxy kwenye smart TV na PlayStation inaleta shida lakini ku stream Movies na matumizi ya ujumla kwa internet iko 🔥🔥, nanunua hii kwa sababu inanisaidia kwenye Tv, Playstation na vitu vingine. Nipo Full tajiri.
View attachment 2727614
I mean no malice to nobody
 
nlishasahau kununua voucher, tarehe 11 nlikuwa na 70 GB. Kila mwezi naweka GB 120, ungekuwa karibu Free Wi-Fi inakuhusu, Plus nina internet yangu binafsi unlimited sema ni proxy kwenye smart TV na PlayStation inaleta shida lakini ku stream Movies na matumizi ya ujumla kwa internet iko [emoji91][emoji91], nanunua hii kwa sababu inanisaidia kwenye Tv, Playstation na vitu vingine. Nipo Full tajiri.
View attachment 2727614

Jipigie makofi tajiri
Kwa hilo nusa maua yako [emoji253][emoji253][emoji253][emoji253]
 
Ukikataliwa au kukubaliwa jambo, siri yako

Na huo ndo uwanaume sio kususa susa na kuleta chuki za kichoko!!! Mtu kapitia kwenye kei lkn bado ana ushamba wa kei Mxxiewwww!!!

Hivi lazima kukubaliwa?? Unakuta limtu linatisha km babu migambuti linavyoforce kupendwa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Babu muhasisi wa TANU kokote ulipo nakusalimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom