National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😬😬😬 tulio single sasa mnatusaidiaje..Mimi mpaka ba Nai anikumbatie ndio usingizi unakuja 😬
😬😬😬 tulio single sasa mnatusaidiaje..Mimi mpaka ba Nai anikumbatie ndio usingizi unakuja 😬
Tafuta pisii moja ya Jf 😬😁😁😬😬😬 tulio single sasa mnatusaidiaje..
Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!Dj waleteeeeeeee!!!
Hivi kwann watu hawajiamini na misura yao iliochachuka mpk watumie pic zetu wapenzi wetu jamani khaaaaaa!!!
Wawe wanatuma mapanki yao Mxxiewwww
over my dead boy ( "in manara voice")😬😬😬😬😬...Tafuta pisii moja ya Jf 😬😁😁
Sio Jay z?? 🤒😂Y'all know me, still the same OG
But I been low-key
Hated on by most these niggas
With no cheese, no deals and no Gs
No wheels and no keys
No boats, no snowmobiles and no skis
Mad at me 'cause I can finally afford to provide my family with groceries
Intelligent businessman unajua hii ngoma ya nani 😅😅😅
Nimekujaaa uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu bahati yako acha uwoga😬over my dead boy ( "in manara voice")😬😬😬😬😬...
Hawezi ninangaaa, huwa anatafuta ahueni ya ndoige niliyempa mwaka juziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oyooooooooo!! Bora mana alikunanga udugu mpe vidonge vyake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasemajeeee nasemajeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ongea kwa sauti ya juuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atume linalo mnyima usingiziiiii.
Woiiiiiiih
Tajiri kwa kweli, hata ukinyoa upara sitokusahau, sasa hio tunza kwanza nimalizie bundle langu. Lakini nashukuru sana kwa roho yako nzuri.Kwanza ata nikikutangaza kwani nililazimishwa si itakua shobo zake mtumaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya sema unatumia mtandao gani??
🤣😂😂🤒Jaribu bahati yako acha uwoga😬
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenye hasira na makasiriko na mie hujakimbia, ndo akimbie yeye??
Raha ya umbea uwe na evidence, unaambiwa uweke picha hizo kuthibitishaaa unabaki kuhaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DJ waleteeeeeeeeeeee
Weee uduguuu sihitaji vouchaaa zamtu baba chanja anajiweza sana tu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!! Hio sandakalawee iweke hapaaa afu Vocha za wengine hazinogiiii waache kuiga kunya kwa tembo!!Udugu kesho midadi vocha sawa?? Mwanamke wa shoka unajua wewe!!! Una maadui wengi lkn umekataa unyonge yani unashambuliwa na gender zote na bado uko front unarusha makombora so mchezooo!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Habari yako Kaka hajambo my wiii mwenye bichwa lake mjini😁😁😁🤣😂😂🤒
I mean no malice to nobodyTajiri kwa kweli, hata ukinyoa upara sitokusahau, sasa hio tunza kwanza nimalizie bundle langu. Lakini nashukuru sana kwa roho yako nzuri.
View attachment 2727591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sio Selfika, JF yote iko kiganjani kwangu, Mello na moderators wake wote wanafahamu hilooo.Hio ipo sana humuu shoss akee hujaizoea tu??!
Khakhakhaaaa!! kwa unaa uliopo humu walikua wanamtumia sana picha zangu na blah blah kibaoooo eti wanamshauri nyieeee! Afu anayaleta kama yalivoooo!! [emoji4][emoji4]!!
Siku Niki vurugwa🤒, tuta pasuana😂.Habari yako Kaka hajambo my wiii mwenye bichwa lake mjini😁😁😁
Waambie wakutumie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona me sikuziona hebu mabingwa wa kutuma na mie wanitumie