Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
My coach🙃🤗Sometimes napitia Ili kujifunza maisha yanaendaje zaidi ya niyatambuavyo.....nipo mbeya huku na baridi langu ...........nawaheshimu sana ndugu zangu......Mungu atusaidie tuitengeneze amani ,tufurahi pamoja........Kuna muda sioni kitu Cha kunigombanisha na mwanadamu mwenzangu....maana kama ni sex si tunapeana tu ...easy afu Kila mtu na njia yake....mambo si magumu sana....ugumu wa mambo tunauleta wenyewe.Kunyoosheana vidole ingali hayupo bikra hapa nayo ni kujipotezea muda. Mlale salama wapendwa.