YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Hapo si wamejipeleka wapate cha kuanzia shougaaa wanaona wakikukandia ndio watapata soko!
Cha kushangaza hadi ratiba zao za kuliwa unaambiwa kuanzia wa kuliwa Gym hadi wa kuachwa wamelala ndani badae ndio wanaenda makwao mxxxieeww!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie hivi nini haswaaa!! Mbona wanawake tunapenda kujidhalilisha?? Unapigwa miti hovyo hovyo namna hiyo?? Khaaaaaa!!!! [emoji119][emoji119][emoji119]
Afu uzuri wa wanaume wa jf wakila papa lazima wahadithie duh!!!