Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Ndo hivyo, ila una takiwa uwe na jicho la ki jasiriamali Sasa🤔Mahind waiiolima kwenye mwinuko walivuna sana
Ndo hivyo, ila una takiwa uwe na jicho la ki jasiriamali Sasa🤔Mahind waiiolima kwenye mwinuko walivuna sana
Hapo sasa ni driving skills chief ndiyo itatoa ushindi lakini maduara na fuga vitu viwili tofauti kabisa kwa kila kituWeka hiyo maduara manne, alafu niweke fuga. Alafu iwe vyovyote vile ligi road au comfortability. Utapoteana
Sawasawa 👍Bado next month watu waaanza kukodishq mashamba na kuandaa mwez wa11 mara nyng Huwa zinaanza mvua
Hahah itakuwa unachungulia kwenye pdf wew alafu kunasiku ulitaja moyo ulilipuka😀😀😀 nilikuwa somewhere nimekaa nikasema huyu kaniona nikatulia kumbe ulikuwa na storyzako tu 😂😂😅😅😅😅 nipataje .. alafu nikipata utanipa nini
Safiii sanaNiliko mambo sio magumu kwenye kilimo
Shamba ekar had laki hats elf 80 unapata
Trekta kulim ekar 1 ni elf 40,sheli ni elf 20
Vibarua kulimia ekari 25 au unaalika watu wanalima
Mtaji sio shida sana
Mp Ume angalia 🤣😂😅😅😅😅 ulishawai sikia kipindi cha lugha gonganaa.. unaniuliza naenda wapi.. nakujibu shule tumefungua tayari
Usimseme sweetheart wangu haishi bush ujue😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa vijijini tunaenjoy leo. Km namuona coca anavyosonya simu haina chaji na anatamani kuja selfika
AiseeHaha kulima kazi 😄😄jamani
Mwaka jana nilijaribu alizet zikaota mapema zingine zikachelewa nilichanyikiwa balaa 😄😄nikarudia kupanda 😀😀kumbe zilichelewa tu nilijicheka sana
😅😅😅😅 kwenye pdf moja si wamesema unakaa ............. 🤣🤣🤣🤣 hivi karibuni nakuja nililima dengua 🤣🤣😄😄
Hahah itakuwa unachungulia kwenye pdf wew alafu kunasiku ulitaja moyo ulilipuka😀😀😀 nilikuwa somewhere nimekaa nikasema huyu kaniona nikatulia kumbe ulikuwa na storyzako tu 😂😂
😂😂😂 kama umewapa wajasiriamali haina umuhimu tena🚮😅😅😅😅 mapidiefu nime print nimewapa mamalishe wafungie msosi siku ukibahatika pita makumbusho ukinunua msosi waweza kuta kifurushi chako cha kugonja
Kama na mimi nime_kufananisha flani hivi leo.Aaliyah unacheka nini?? Nasikia watu wanashinda kkoo wanapita kila duka na pic yangu kunikagua khaaaaaa!!! Jf kuna vituko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mie ndiye yule mama Siha aliyekua anaongea na Waziri mkuu hata msijichoshe
Lipo lime andikwa kwa wino wa Moto 🤣😂😁😅😅😅😅 anaangalie motoni anitazamie jina langu
😅😅😅😅 menstruation period.. kamaliza tayari leo najipendelea tuMp Ume angalia 🤣😂
Aiseee😂🤣🤣, mi nime wagaia waha wachambie wakienda toilet 😂🤣😅😅😅😅 mapidiefu nime print nimewapa mamalishe wafungie msosi siku ukibahatika pita makumbusho ukinunua msosi waweza kuta kifurushi chako cha kugonja
Usinikumbushe nilinunua kirefu Hadi nikataka nikkate nikakifua kuvaa kipo magotini mama alinicheka balaa 😀😀😀Ukifua vinaruka vinapanda juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nae kwa kujifanya and tender za kazi, si aliwahi nambia eti nikimaliza chuo tyuuh nimtafute ili anipe mchongo
Mengine sikumaliziii, atasanukaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF ya motooo.
Wee mahabhubha, mwisho wa mwezi ndo huu, na nasikia mshahara kesho unatoka.Usimseme sweetheart wangu haishi bush ujue[emoji16]
Kafie pm wewe😂🤣😅😅😅😅 menstruation period.. kamaliza tayari leo najipendelea tu
Wapi ulipo huko mkuuNiliko mambo sio magumu kwenye kilimo
Shamba ekar had laki hats elf 80 unapata
Trekta kulim ekar 1 ni elf 40,sheli ni elf 20
Vibarua kulimia ekari 25 au unaalika watu wanalima
Mtaji sio shida sana
Mapdf ya mchongo 😀😀😀nishahama huko mbona sikunying😅😅😅😅 kwenye pdf moja si wamesema unakaa ............. 🤣🤣🤣🤣 hivi karibuni nakuja nililima dengua 🤣🤣