Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Hebu acha uwekezaji was kamari we mzee, mpaka Leo una depend Kwenye kitu usicho kuwa na uhakika Kita kuwepo???🤔.Hahaha...............mwenzio nimeanza kuandaa mashamba mapema, hapa nasubiria mvua tu nianze kupanda 🤪
👉 Chimba hata kisima, andaa hata mfumo- uvune hayo maji ya mvua.
👉Mvua Ni nzuri, ila Hauwezi kui limit or balance??- maji yakizidi katika mazao uta fanyaje🤔
Halafu kilimo Cha umwagiliaji, kina kupa uwanja mpana wa kuinhia mzigoni muda wowote. Grahams
👉 Endelea ku bahatisha Kama uja umia ka National Anthem aliye itegemea mbususu ya kiarabu🤣😂😂 aka Baki ana Lia Lia🤣😂😂😂