cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,312
- 187,977
Nshakujaaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye ashushe net alale leo hakuna kuselfika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nshakujaaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye ashushe net alale leo hakuna kuselfika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tamba tu, ila nikikasirika nawaambia wezi wenzako tuje kuyaiba hayo magari😁😂🤣😅😅😅 mzungu habahatishi.. gari zake nyingi speed ni fumba na kufumbua.. maduara kwenye kukamata chini ndio ana baraaa zito kama inagundi kati yake na barabara.. tusake hela tu haina namna tusiishie kwenye mikweche kama kijana mwizi Intelligent businessman
😅😅😅 kwani Aaliyyah sipajui huko jirani .. au nianze kukutajia maeneo sasa.. mie mitaa yangu hiyoo... tukukaribishe wewe tuUna ogopa mi na mwizi mwenzagu National Anthem tuta kuja kukuibia🤣😂😂😂.
Sera zetu 👉 panga mkononi
👉Roho begani😁😂
Si ndo huyo figo76Kabisa
Nitajie tu Coca jamani
Nisipitwe na mimi
Shida so Gharama nafuu, shida uhakika wa Mvua ya kutosha upo??Niliko mambo sio magumu kwenye kilimo
Shamba ekar had laki hats elf 80 unapata
Trekta kulim ekar 1 ni elf 40,sheli ni elf 20
Vibarua kulimia ekari 25 au unaalika watu wanalima
Mtaji sio shida sana
Haha kulima kazi 😄😄jamaniUna ogopa mi na mwizi mwenzagu National Anthem tuta kuja kukuibia🤣😂😂😂.
Sera zetu 👉 panga mkononi
👉Roho begani😁😂
Dah Ume kuwa jeuri🤣😂, akati wizi nime kufundisha😅😅😅 kwani Aaliyyah sipajui huko jirani .. au nianze kukutajia maeneo sasa.. mie mitaa yangu hiyoo... tukukaribishe wewe tu
Hiyo PDF imechorwa na mwanaume? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabwakuuuuu.
😅😅😅😅 mtakutana na waraka wa TEC tu.. au mtaishia kuona bahari tu.. au mtatokea bandarini muelekee Dubai..We tamba tu, ila nikikasirika nawaambia wezi wenzako tuje kuyaiba hayo magari😁😂🤣
👉 kina mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, miyeyusho stow away, mpiga chaboo Poor Brain.
Mwaka huu zilikuwa nyng kias waliolima bondeni hawakupata kabisaShida so Gharama nafuu, shida uhakika wa Mvua ya kutosha upo??
👉Inaeza ika nyesha mwanzoni, Baadae ika kata- halafu mazao yaka kauka🤣😂
We Kichwa maji 🤣😂, kifupi Cha member of parliament ni nini kweli🤔😅😅😅😅 kuku wenyewe wamenona au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅😅 mwizi mmoja katoboa haonekani tenaaa Dahan ... anakula life huko alipoDah Ume kuwa jeuri🤣😂, akati wizi nime kufundisha
Uduguuuu yaan achaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanesco sijui wananitafutia nn mie, khaaah
Hawa kupata nini 🤔😂🤣Mwaka huu zilikuwa nyng kias waliolima bondeni hawakupata kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu komaa wee.
😅😅😅😅 ulishawai sikia kipindi cha lugha gonganaa.. unaniuliza naenda wapi.. nakujibu shule tumefungua tayariWe Kichwa maji 🤣😂, kifupi Cha member of parliament ni nini kweli🤔