Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Mahind waiiolima kwenye mwinuko walivuna sanaHawa kupata nini 🤔😂🤣
Mahind waiiolima kwenye mwinuko walivuna sanaHawa kupata nini 🤔😂🤣
Nileteee PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajipendelea huyo balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅 nipataje .. alafu nikipata utanipa nini😀😀😀Hupajui
Nshakujaaa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23]Ukifua vinaruka vinapanda juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅 Pacha usilale kaa na mwizi huyoo.. unaweza nawe toboaa mazimaa tukakusahahu kama Dahan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kuwezaaa?Hamia Burundi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
karume kenge eeh 😅😅😅Dah Dahan popote ulipo jua we kenge tu😂🤣🤣
Solar panelsUmecharge kwenye jenereta? [emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅 Pacha Ms eyesAu unajua aliko🤔, maana una macho makubwa so unaona mbali zaidi😁🤣.
National Anthem ona hi😁🤣
HeeSi ndo huyo figo76
Wee hujui alikua anapora watu pesa PM, akijifanya mwanamke kumbe Dume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaliza wengi mbna, ulipitwa wapi mbna alishtukiwa akaandikiwa uzi.
Uchawi sio lazima uwe na tunguli😁🤣,😅😅😅 Pacha usilale kaa na mwizi huyoo.. unaweza nawe toboaa mazimaa tukakusahahu kama Dahan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nae kwa kujifanya ana tender za kazi, si aliwahi nambia eti nikimaliza chuo tyuuh nimtafute ili anipe mchongoHatimaye!!! Babu yako upara anakusalimia, anauliza hutaki kazi [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
😅😅😅😅 mapidiefu nime print nimewapa mamalishe wafungie msosi siku ukibahatika pita makumbusho ukinunua msosi waweza kuta kifurushi chako cha kugonjaKwenye pdf sipo ee?
😅😅😅😅 anaangalie motoni anitazamie jina languUchawi sio lazima uwe na tunguli😁🤣,
Ishafutwa now, ila ilikuwepo na wengi wamelizwa.Hee
Lini tena?
Mbona sijawahi Iona hiyo ID?
Karibu kwetu jiraniMe Niko bomba jirani