Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hayakuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe mtafute shem wako umtumie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo shem wangu, mbna hatarii sasa.
Ngoja nikae kwa nywilaa,

Wee unampaje shem wako, na uduguuu wako yuko hollah? Huo ni uhainii.
 
Ninmpango niwaalike Dec mje mle mpunga nione puazenu na rangi zenu za choroko😀😀😀
😅😅😅😅 utanipa majina ya unaotaka waje, nipitishe lokooo.. ili nijue yupi waku mkata na yupi ale mpungaaa.. 🤣🤣🤣 nakuwa kama mjumbe.. huyu kata huyu acha..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bas ukikaa vibayaa jinsi anavyokupa intro, unaweza sema nshatusua vile.

Mie nilikua namchora tyuuh, hata wazo sikua nalo.
Uduguuu taratibu nawee.

Hao ndio km wale wanaotangaza kazi afu ukienda unapewa vyombo ukasambaze mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia kazi zenyewe hana wala nenee ni kutafuta kiki tu aonekane pedezyeee kumbe apeche alolo km cute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😅😅😅😅😅 utaenda kutununulia itakuwaje wageni waje alafu walale njaaa... ila siku ile kwanini hukuniambia nipo.... tule hata soda hadi asubuhiii.. nitakutumia picha uone kama ni wewe au sioo.. uone nguvu ya mafile
😀😀 Hauuwepo ulikuwa na storyzako tu ila nilishtuka kutaja sehemu niliyokuwa nipo muda huo nikawa nageuka Kwa pause😂😂😂nisije kuta mambo shwaa kumbe ilikuwa story tu nikaendelea na yangu😂😂
 
Hao ndio km wale wanaotangaza kazi afu ukienda unapewa vyombo ukasambaze mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasikia kazi zenyewe hana wala nenee ni kutafuta kiki tu aonekane pedezyeee kumbe apeche alolo km cute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anaweza kuigiza utajiri, plus masifa ya kuzaliwa nao. Na ulimbukeni alokua nao.
Bas tafrani tupu woiiiiih.
 
😀😀 Hauuwepo ulikuwa na storyzako tu ila nilishtuka kutaja sehemu niliyokuwa nipo muda huo nikawa nageuka Kwa pause😂😂😂nisije kuta mambo shwaa kumbe ilikuwa story tu nikaendelea na yangu😂😂
😅😅😅😅😅 unataka nije kuku suprise tena nasimama nyuma yako alafu naita jina lako la JF..
 
Yeye target yake n wanaume tyuuh, na amewaliza kwa kweliii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna jamaa alitaka kumvua 300k, ila aliambulia 60k, woiiiiiih

Ila wanaume wa jf ni mabwege kumbe?? Yaani wanapigwa kizembe hivyo?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ngoja na me nianze kuwaibia mana wasumbufu
 
Back
Top Bottom