Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
Mwana kibaha akiweka mtego😂🤣Wapi ulipo huko mkuu
Mwana kibaha akiweka mtego😂🤣Wapi ulipo huko mkuu
Usimseme sweetheart wangu haishi bush ujue[emoji16]
HeeeIshafutwa now, ila ilikuwepo na wengi wamelizwa.
Had wajanja wa JF waliliwa buku 2 ya vocha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuriii.
Kanda za kati now nipoWapi ulipo huko mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan bas ukikaa vibayaa jinsi anavyokupa intro, unaweza sema nshatusua vile.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thubutuuuuu!!! Naoga mwenge mchana kweupe!! Tender za kazi atoe wapi?? Mxxiewwww!! Awadanganye hao hao wajinga wanaoenda kupigwa kende labda [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Yaani anajikuta Vunja Bei kumbe Baba Levo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mission town tu mfyuuuu
Hahaha atulie hivo hivo 😄😄Mwana kibaha akiweka mtego😂🤣
😅😅😅 sawa nitakupata tu.... kamuulize .... mtu flani hakuamini nilianza muambia hadi kwao wapo wangapi.. na ABC.. unachezea kibuyu .. Kuna mahala ningekutajia ila basi eeeh.. au niseme wana JF waje kula ubecheMapdf ya mchongo 😀😀😀nishahama huko mbona sikunying
Niko town weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakaa Namtumbo Songea vijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama na mimi nime_kufananisha flani hivi leo.
hope ur ok mchuchu.
😂😂😂Sijalima mpunga😅😅😅 sawa nitakupata tu.... kamuulize .... mtu flani hakuamini nilianza muambia hadi kwao wapo wangapi.. na ABC.. unachezea kibuyu .. Kuna mahala ningekutajia ila basi eeeh.. au niseme wana JF waje kula ubeche
Ngoja nikupindue tuMwana kibaha akiweka mtego😂🤣
Yeye target yake n wanaume tyuuh, na amewaliza kwa kweliii.Heee
Akiyanani
Bora sikuona
Ningepigwa
Nikawaza kidney si figo
Ni I'd gani?nikawa sipati jibu
Usinikumbushe nilinunua kirefu Hadi nikataka nikkate nikakifua kuvaa kipo magotini mama alinicheka balaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Serious unauza vijora mchuchu.Wee sema kweli?? Wapi huko umeniona?? Muhonda street?? Au Nyamwezi na Msikiti?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uniungishe kijora cha wifi basi jomoooni mchuchu
Nimekuona mtaa wa likoma, sikutaka kukustuaWee sema kweli?? Wapi huko umeniona?? Muhonda street?? Au Nyamwezi na Msikiti?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uniungishe kijora cha wifi basi jomoooni mchuchu
Wee mahabhubha, mwisho wa mwezi ndo huu, na nasikia mshahara kesho unatoka.
Sasa jizime dataa, usishau maokotoo yangu, afu shem wako vipi ashakupaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninmpango niwaalike Dec mje mle mpunga nione puazenu na rangi zenu za choroko😀😀😀😅😅😅 sawa nitakupata tu.... kamuulize .... mtu flani hakuamini nilianza muambia hadi kwao wapo wangapi.. na ABC.. unachezea kibuyu .. Kuna mahala ningekutajia ila basi eeeh.. au niseme wana JF waje kula ubeche
😅😅😅😅😅 utaenda kutununulia itakuwaje wageni waje alafu walale njaaa... ila siku ile kwanini hukuniambia nipo.... tule hata soda hadi asubuhiii.. nitakutumia picha uone kama ni wewe au sioo.. uone nguvu ya mafile😂😂😂Sijalima mpunga
Bila shaka chikuyu Apo wanapo lima Lima mpungaKanda za kati now nipo
Nilikuwa kama jini kisirani kijora chin hakipo juu hakipo😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wauza vijora Mungu anatuona, afu vinabana mikononi