Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee mgenii na selfika huijuii, tuulize wakongwee tukupe in4, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manjegeka ya upande m1 ambao walishapanga nini kiletwee humu, hata sina mshipaa nao.

Selfika woyeeeeeee

Me nilitaka pande zote waletwe hii ya mwingine kajificha sijaielewa ila najua rafikiake Penseli mshamba
 
Serious jf inataka kufanywa kua Kama Badoo. Ukiona I'd yakike akili inaruka na kuwaza mtongozo.

Na wakike akiona I'd ya kiume akili inaruka inahamia kwenye udangaji.

Full kuwindana
 
Napenda kuwapa Usia.
Acheni UNAFIKIIIIII

siku mkiacha UNAFIKI, amani ita tamalaki humu ndanii.

Yangu ni hayo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na vikundi vivunjwe, wajiunge vyenye faida km kausha damu, chupi mkononi ili tuwaze marejesho

Na wanaume waache kuwa nyuma ya wanawake hawa ndio tatizo kubwa humu nimeliona!! Yani mtoto wa kiume anashinda muda wote piem za dada zake kugombanisha

Na watu wazima hovyo mjifunze kukataliwa, wengine wanatishaaa jamaani khaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu anisamehe ila hapana ukweli tuseme mtu yupo toka enzi za TANU lkn naye hataki anajifanya rika la kina mshamba khaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…