Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna nini kinaendelea huku?
Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa

Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao

Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
 
unayawezaaaa kwa kwelii.
 
Kumbe, asante sana maana nilikuwa sielewi. Samahani lakini kwa usumbufu.
 
Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa

Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao

Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
National Anthem alilewa kidogo late night akaanza kulipua ameahidi leo akipiga ka ulanzi vizuri kufikia kiwango cha harmonize atatulipua mmoja baada ya mwingine ili tukae sawa na amani itawale
Ms eyes
 
Humu rafiki yangu hapaeleweki vizuri, story kamili unaweza kupata kwa cocastic au Cute Wife mimi nilikuta mambo yamechemkaa balaa

Ila kwa ufupi inaonekana kuna member wana group zao huko pm wanawasema na kueneza mambo kwa kuwazushia baadhi ya members humu kuwa wana mahusiano au wanakulana na blaa blaa kibao

Hayo mambo yamepelekea kukosa utulivu humu ndani kiasi ambacho kimewakasirisha wajumbe kwa hiyo wamekusudia na wameanza kulipua mabomu
Hivi sisi nani ametusingizia Mjep?
Tumuweke kwenye toba Mungu amrehemu😂😂😂
 
Back
Top Bottom