YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Uduguuu muambie Mr kahawa achanganue files vizuri, naona km anataka kutupiga chenga ya mwili,
Mwachiluwiiii ni kidagaaa wala hana jambo lolote LA kutustuaa, awatajee mapapa bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwachi kwanza namsikiliza piem utetezi wake, namtafutia muda kwanza nafanya maokoto ya faster ya kuja ku- bang na vigagula na mapapai leo live
Huyo nation alete file la kueleweka si kataka kurithi mikoba ya Koffi Annan afunguke sasa aeleweke lasivyo tunamkaanga mwenyewe