Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Haha!!Pacha hizo private issues USI reveal out Sana.
👉Muulize kwa wem tu
Kala cha tabora.
Kazi unayo toka kwa pacha.
Haha!!Pacha hizo private issues USI reveal out Sana.
👉Muulize kwa wem tu
Die😁😂bye 😅😅😅
Haha naam nakuona chiefaniteke nani mie 😅😅😅
anaetaka shari aje hapa kitambaa cheupe.. nimvaa koti la.suti na shati kaki na suluwae black na cape blac.. nipo counter hapa na mademu wanne
Mimi Tena🤔😁😂, au umesha lewa mzee😂😁Haha!!
Kala cha tabora.
Kazi unayo toka kwa pacha.
haha leo pacha anasema hataki kusikia la muazini Wala la mnadi swala.Mimi Tena🤔😁😂, au umesha lewa mzee😂😁
Kipi kinatisha?Dah National Anthem huyu dogo haogopi😃🤔😂😂
Dogo mi nalala, nina ki barua saa 12:00- so lazima niwahi🏃🏃🏃🤒Kipi kinatisha?
Dah kabla ya kuleta hapa ungeniuliz na mimi kwa upande ukapima mzani kwa namna hii unayo tumia utagombana na watu kumbe mchawi jirani yakoWanakera sana aiseeee!!! Basi hawajui yani muda wote wanapambanisha watu sema Mwachiluwi aje atupe maelezo ya kutosha
Aunt Mimi sijawahi kuwa na ugomvi na mtu na Wala sitarajii kuwa nao sinasababu ya kugombana kama mtu alimua kunikosea Kwa hiyari yake nilishasamehe ndio maana hata sihangaiki na mtu kabisa
Polesana nduguNiliwahi biashara ilikuwa poa tu marafiki best wee kopa si una leseni yaani kama niliweka mkosi kwenye biashara 😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwachiii analoo leo.Sina kitete ila Mwachi huyu ni special case nahitaji mikasi mizuri ya kumfanyia operation
Watu weuweeeeeeee, vochaa vochaaa.mnaniachache warembo nyie tukale wote basi [emoji28][emoji28][emoji28] kalaleni mie natelemsha hapa kesho kufikia usiku virua wawe wameisha.. tue enjo selfika yetu na nita posy vocha za 200,000 za buku tano tano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ugomvi wao mjiniiii.Yaani kesho kutachafuka hapa
Bahati tu wenye ugomvi wao wamelala muda huu, wakiamka naamini pm charts zitahamia kwenye uzi na uzi utafutwa huu
Kuna watu wanajua ugomvi balaa[emoji1787]
Bas hapo ushatamaniiii wee kiumbe, woiiiiiihMpaka pesa unatuma mchuchu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehehehe hallowwwNilikuwa kufunga mzigo sasa hapa ktk kuchat dogo akaomba nimnunulie nguo za mazoezi anitumie pesa, nikamjibu hapana potezea nitakupa km ofa tyuuu!! Na ukiangalia hiyo nguo ni km dollar 20
Sasa ile mizigo nikaiweka na ya dukani pamoja ikaenda cargo na me kwenye bags zangu nilibeba vitu muhimu tu
So nilivyofika nikaona kwann nisimchukulie za kkoo hapa chap, na nikiangalia mzigo unachelewa mpk nifanye clearing nikamuuliza nikutumie pesa au utanunua mwenyewe?? Akasema nitanunua we nitumie tyuuu!!! Ile kiurafiki kaka na dada
Nikamcheck dogo wa dukani nikampa namba akatuma 40,000 ile kapokea huyo jukwaani ooohoo Kantri ulisema cute hawez kuja mbona kaja kwangu kabla ya siku haijafika??? Dah!! Nilihuzunika nikatumia busara…….
Chino kesho ntamalizia niache kwanza huyu sitomfaidi ninavyotaka
Mchawiii jirani yako ganiii?? Ni weweee ndo ndumila kuwiliii nani hakujuiiii?? Utuelezeee vizurii ulivyokua unaya banangaaa humu ndaniiiiDah kabla ya kuleta hapa ungeniuliz na mimi kwa upande ukapima mzani kwa namna hii unayo tumia utagombana na watu kumbe mchawi jirani yako
Mchawiii jirani yako ganiii?? Ni weweee ndo ndumila kuwiliii nani hakujuiiii?? Utuelezeee vizurii ulivyokua unaya banangaaa humu ndaniiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka niwe uncle shamte nibambie sehemu ya umate umate tu.Bas hapo ushatamaniiii wee kiumbe, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli umbea ni kipajiUnataka kias gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukute nnalo mapemaa, afu wee na kidney mliishia wapiii?? Yule mjinga nlitaka kumpa hints fulan, afu ulikua wee na jamaa m1 hivi angewapiga parefuu mnoo, tungegawana mapeneeee.
JF iko mabeganiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]