Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwachiluwi my bro kesho nakukaanga na km korosho za kwenu yani fanya uwahi uje unipe maelezo ya kueleweka, huwezi ukakaa unanisnitch kwa maneno ya uongo
Wewe wa kwanza [emoji736]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu Una motoo mapema hii, tuliaaa kwaniii, mbna badooo yaan kitete usiku mnene hivi? Wee
 
napita nazo hizo.. mie uzuri humu wote watu wangu.. napata maushahidiii mwaaa.. mtu akibisha namuambia hadi lini na mda gani na ni nani ,[emoji28][emoji28][emoji28] .. sijui ugomvi na mtu.. ila hapa nasema kweli mtupu.. na kwa kumkera mtu nakibisha namtumia message za demu wake.. ndio ataelewa sitanii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemaaa fumuaaaaaaa woteeeeeeeeee
 
Yaan huyuu alivyo tajwaaa mie roho kwatuuu, na hajatajwaa kwa bahatii mbayaaa, huyu ndo ataeleza yoteee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu dogo ata sema vzr mwenyewe nilimueka pending, kuna pesa nilimtumia akanigeuzia story sema nikampotezea sasa kajileta kwenye 18 za lady gaga nitamuimbisha kesho mpk afurahi na roho yake [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
napita nazo hizo.. mie uzuri humu wote watu wangu.. napata maushahidiii mwaaa.. mtu akibisha namuambia hadi lini na mda gani na ni nani ,[emoji28][emoji28][emoji28] .. sijui ugomvi na mtu.. ila hapa nasema kweli mtupu.. na kwa kumkera mtu nakibisha namtumia message za demu wake.. ndio ataelewa sitanii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena sema afu tukupe na wewe chart zako tulizosambaziwa piem kuhusu maua[emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Yamwage baba yotree nikupe hitimisho murua
 
Huyu dogo ata sema vzr mwenyewe nilimueka pending, kuna pesa nilimtumia akanigeuzia story sema nikampotezea sasa kajileta kwenye 18 za lady gaga nitamuimbisha kesho mpk afurahi na roho yake [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu eti nn??
Ooooh sema kimeumanaaaaa!!!
 
mshamba_hachekwi hii ime kaa fresh 🤒🤗
Screenshot_20230821-023739_1.jpg
 
Naandaa nyuklia hapa kesho mida ya lunch naruka naye
Nalalaa tukutanee keshoo
Zzzzzzzzzzzzzzz
mnaniachache warembo nyie tukale wote basi 😅😅😅 kalaleni mie natelemsha hapa kesho kufikia usiku virua wawe wameisha.. tue enjo selfika yetu na nita posy vocha za 200,000 za buku tano tano
 
mnaniachache warembo nyie tukale wote basi [emoji28][emoji28][emoji28] kalaleni mie natelemsha hapa kesho kufikia usiku virua wawe wameisha.. tue enjo selfika yetu na nita posy vocha za 200,000 za buku tano tano

Wewe unazunguka mno emu weka basi wale wenye pic zangu na waliozipeleka kwa Kantri nao nawahitaji niselfike nao mida ya lunch
 
Wewe unazunguka mno emu weka basi wale wenye pic zangu na waliozipeleka kwa Kantri nao nawahitaji niselfike nao mida ya lunch
Kesho nakutumia picha ya hizo message na chart pamoja na picha.. unakataa kuwa Penseli 4 kafanya hayo.. na huyo ndio hata alisema wewe unapigwa na countri, na conutri pia kapida depal.. kesho nakurekodia au nazipiha picja maana siku hizi hazikubali screenshot
 
Back
Top Bottom