Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Wewe ni mmoja wao. Alafu hizi mambo nilisema niachane nazo Ila naona mnaandika sana unafki.Mkuu hao wenzake SI unge wataja, coz naona mna peana attention ya ki jau jau.
[emoji117]Mme kua bhana, SI teenagers tena guys.
[emoji117]Kama Kuna mtu kazingua mtaje, ila kupigana vijembe nalo ni tatizo kichwani.
[emoji117]Pengine watu mna histrionic personality disorder [emoji850]
Acheni hizi tabia. Haya mambo mengine waachieni wanawake wayafanye. Naamini umenielewa, usitake niwape watu faida