Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ase muwe mnapotezea maneno ya humu wengine tuna yasikia tuna yaacha be patient show happy siku zote ndio silaa kubwa ya adui akusemea anataka kuona ukiumia na ukija mjibu hapa anasema yah kaumia kama nilivyotaka ila usipo jibu anaumia yeye take it ni ushauri tu

Ukweli lazima tuwape watake wasitake km unaogopa ni wewe bro
 
Hee😂😂😂😂😂😂😂
Tena?


Hii ya lini?🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwani nimewakataza kushabikia Liverpool?😂
Akiyanani next week nadhani nitaenda kuinunua.

Ntaitupia humu wanaokereketwa nasema na bado🤣🤣🤣🤣
Yaani mdogo wangu acha tu
 
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta

Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
😁😁😁
 
Sasa walikuwa wapi kumtafuta

Au ndo ile mtu anatembelea nyota,anapopita Fulani,Naye akasafiahe nyota aonekane mjanja.

Wanapenda zile hekaheka itakuwa, kuna mmoja juzi kavumilia kashindwa kaamua kusema, “Hiyo amani mliyonayo mashabiki hatupendi, sio km hatuwaoni ni vile tunajificha kwenye kona tunawacheck” Aiseee nilicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mdogo wangu acha tu
Ile message ya muamala wa jezi kumbe imekereketa watu

Ingekuwa tunadate ningeianika hapa?😂😂😂😂😂


Nyie
Msije sababisha watu tukakosa msaada humu.
Mjep amekuwa ndugu yangu
Siyo jezi tu!tangu kipindi Nimepata msiba wa baba yangu alinisapoti sana.
Bado ananisapoti mno, siwezi kuhesabu.
Mjep usiwasikilize matajiri hao🤣🤣🤣
Jezi ninayo sina?
 
Afadhali umekuja na kaselfie matata
Wajumbe wanapoteza mahudhui ya uzi
Badala waselfike wanapiga story tu
Acha wivu kama huna wakupiga naye story wewe nenda tu ukaselfike mwenyewe hadi ulale mwone kila saa unalike tu story za wenzako , siumwite upendaye na mashem mchart
 
SIMBA bingwa [emoji23]
20230820_124935.jpg
 
Back
Top Bottom